Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF, na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi, na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025, ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia, bali tunachouliza ni hiki. JE. KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?

Kama mzawa wa Mbokamanyema na Mwinyikiti wa CUF
 
Mbowe alienda juzi Ikulu kama nani.?
Watu wa protokali wakijibu la Lipumba watusaidie kujibu hili pia.!
 
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF, na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi, na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025, ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia, bali tunachouliza ni hiki. JE. KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?
Usijichose bure...ni kazi za kitengoni
 
Yule ni Mzee wa Bahasha Propesa Lipumba. Mwamala ukisoma hana ajizi.
Hahahahaaaa...siku zote hakuna mkate mgumu mbele ya chai, manake hata CDM mwishowe mnatakiwa 'kujua kua hamjui'.... kazi iendelee....
 
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF, na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi, na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025, ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia, bali tunachouliza ni hiki. JE. KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?

Msaliti mkuu wa Chama cha upinzani🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom