Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

Huyo Mzee anaitamani sana tuzo ya Mo Ibrahim huwa hakosi kuiota Kila anapopata wasaa wa kuota, hivi karibuni amemuotea Chief Hangaya.... Swali ni : Yeye atapata manufaa gani ?🤗
 
Jibu: Kama mpambe wa rais na CCM.
 
Itakuwa mna kitengo duni sana ! Kumtumia Mzee ambaye hana Mke wala Mtoto hata wa kusingiziwa kwa jamii ya kiafrica huwezi kueleweka
Huu mkusanyiko wenu full watu wa kitengo. Unamdanganya nani chief?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…