dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Aikoooo, Tatiiiiizoo..operesheni ya kukamata mifugo iliyoingizwa kinyume cha sheria ndani ya hifadhi hiyo.
2030 ndio itakuwaa finshJeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, iliyopo Kijiji cha Utimle, Wilaya ya Sikonge.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Twaha Lulengelule, amewaambia waandishi wa habari jioni hii kuwa kundi la wafugaji lilivamia kambi ya askari wa doria likiwa na silaha za jadi.
Amesema wakati wa tukio hilo, askari walikuwa wakishirikiana na maafisa wengine wa Halmashauri katika operesheni ya kukamata mifugo iliyoingizwa kinyume cha sheria ndani ya hifadhi hiyo.
Kwa mujibu wa Kamanda Lulengelule, kundi hilo liliwashambulia askari na watu wengine waliokuwapo, kisha kuchoma moto gari aina ya Land Cruiser na kuchukua silaha moja ya kivita aina ya AK-47.
Amesema watu wengine watano walijeruhiwa katika tukio hilo na kwamba Polisi inaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
Ndiyo watakuwa wamepata suluhu ya kudumu kwa misigano ya wananchi na wahifadhi?Ni sawa ila retaliation itakayopigwa hilo eneo! Sijui kwa kweli, hiyo AK ipatikane haraka la sivyo Ile wanaitaga task force ikifika huko watakufa watu na watakimbia kijiji hadi bunduki ipatikane.
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, iliyopo Kijiji cha Utimle, Wilaya ya Sikonge.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Twaha Lulengelule, amewaambia waandishi wa habari jioni hii kuwa kundi la wafugaji lilivamia kambi ya askari wa doria likiwa na silaha za jadi.
Amesema wakati wa tukio hilo, askari walikuwa wakishirikiana na maafisa wengine wa Halmashauri katika operesheni ya kukamata mifugo iliyoingizwa kinyume cha sheria ndani ya hifadhi hiyo.
Kwa mujibu wa Kamanda Lulengelule, kundi hilo liliwashambulia askari na watu wengine waliokuwapo, kisha kuchoma moto gari aina ya Land Cruiser na kuchukua silaha moja ya kivita aina ya AK-47.
Amesema watu wengine watano walijeruhiwa katika tukio hilo na kwamba Polisi inaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
UprisingJeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, iliyopo Kijiji cha Utimle, Wilaya ya Sikonge.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Twaha Lulengelule, amewaambia waandishi wa habari jioni hii kuwa kundi la wafugaji lilivamia kambi ya askari wa doria likiwa na silaha za jadi.
Amesema wakati wa tukio hilo, askari walikuwa wakishirikiana na maafisa wengine wa Halmashauri katika operesheni ya kukamata mifugo iliyoingizwa kinyume cha sheria ndani ya hifadhi hiyo.
Kwa mujibu wa Kamanda Lulengelule, kundi hilo liliwashambulia askari na watu wengine waliokuwapo, kisha kuchoma moto gari aina ya Land Cruiser na kuchukua silaha moja ya kivita aina ya AK-47.
Amesema watu wengine watano walijeruhiwa katika tukio hilo na kwamba Polisi inaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
Hautakuwa MWISHO. Always kuna revenge baadae. HATA YA OCTOBER USIFIKIRI YAMEISHA. IPO SIKU UTASIKIA MSHINDO MKUUNi sawa ila retaliation itakayopigwa hilo eneo! Sijui kwa kweli, hiyo AK ipatikane haraka la sivyo Ile wanaitaga task force ikifika huko watakufa watu na watakimbia kijiji hadi bunduki ipatikane.
...ndipo jua litakuwa kali hadi watesi watatamani majani ya maboga yawe miamvuli yao.Na usiku utakapokwisha.......
Jumlisha na simba kumi waliokufa kwa sumu baada ya kula punda wa wafugaji kule Ngorongoro.Ka show kenyewe mbana kadogo tu
Askari wa majeshi wenye mafunzo kama yote pale Algeria,Misri, Tunisia na baadhi ya nchi za Mashatiki ya kati,walifurushwa na wananchi wenye hasira,mawe na kelele tu wakati wa Arab-uprising.Remember?watu 6 mna Ak 47 mna uwawa 🤔