king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Moja ya story inayohuzunisha Sana,
Cha muhimu achana na ndgu , saidia kidg Kwan we ukifa nani,
Saidia kiasi tu
Cha muhimu achana na ndgu , saidia kidg Kwan we ukifa nani,
Saidia kiasi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa kwanza alipata mtu akamwambia kuwa nakuacha.Nje ya box;
mkuu nahisi wewe una matatizo ndiyo maana hao wanawake wawili mmeshindwana bila sababu za msingi kuwa makini na ujirekebishe hata huyo watatu angalia sana.Yawezekana una matatizo fulani kwa vyovyote hutayazungumza hapa.
,Nakadori wangu ukuje myMimi ni kijana nilizaliwa mwaka 88 Mwanza mjini, tuliishi kwenye nyumba ya familia ile nyumba tuliishi familia mbili babu alikuwa na wake watatu hivyo pale walekaa Bibi zangu wawili na watoto wao ambao Kila Bibi alikuwa na watoto Saba Kila mtoto alikuwa na watoto wake pia hivyo waligawana vyumba, Bibi mwingine yeye hakuzaa, japo babu alikuwa na nyumba nyingine tatu.
Kila Bibi alikuwa amepewa nyumba moja na nyumba hizi zilikuwa zimejengea mitaa tofauti, kwa kifupi maisha hayakuwa mazuri pale tuliishi kigumu gumu, uwezo wangu darasani pia haukuwa mzuri japo nilikuwa siwi wa mwisho mwaka 2000 walielewana wauze ile nyumba sisi tulienda kuishi na Bibi yetu ambae alikuwa ameacha chumba kimoja katika ile nyumba waliogawiwa, vyumba vingine walikuwa wamepangisha Kodi watoto ndio waliokuwa wanachukua yeye hakupewa kitu.
Bibi yangu alikuwa mpole sana, watoto wa kiume ndio walipanga pembeni watoto wa kike walikaa na mama yao pamoja na wajukuu wale wa kiume pia kula walikuwa wanakula pale kwa bibi ,Bibi yangu alikuwa anajishughulisha na biashara ndogo ndogo aliweza kutulisha wote na matumizi madogo madogo alikuwa anatupatia ,kwakweli maisha Yale yalikuwa yananiumiza sana yaani kulala ni tabu wajukuu wengi mna lala mpaka uvunguni nilijaribu kwenda kwa mzee wangu kukaa sababu yeye alikuwa na nyumba kubwa tu ,lakin yule mke wake akakataa Mimi kukaa pale yule mwanamke alisusia Kila kitu akasema kama Mimi nakaa pale basi yeye ataondoka.
Baba ikabidi anifukuze ila niligoma kuondoka baadae baba akaniita pembeni kwa upole akanieleza nirudi tu kwa mama yangu akaniambia hanichukii ila Sasa hivi ni ngumu kumuelewa ila nikiwa mkubwa nitakuja kumuelewa basi bwana ikabidi niondoke zangu niende kwa Bibi tuliishi hivyo hivyo kwa tabu aise ,mwaka 2002 nilimaliza darasa la Saba sikufanikiwa kufaulu Bibi nae alikuwa ameshachoka Kila siku anaumwa baadae Bibi alishindwa kabisa kuendelea kufanya biashara ikabidi apumzike huwezi amini watoto walishindwa kumtunza kabisa yule mzee.
Itaendelea
===
Muendelezo soma Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu
Hapana situmii pombe Wala sigaraUlikua watumia pombe??
Kujiajili mpaka niweze kusimama ili niweze kuacha kazi serikaliniSamahani mkuu nataka kuelewa vizuri unataka msaada wa ushauri wa nini??
1 Ushauri wa maisha
2 Biashara
3 Mke (ex wako)
3 Kilimo
4 Ajira binafsi au Serikalini
5 Wazee na ndugu kukusema???
Namshukuru mungu kwa HiloIlakuna watu wanapitia mapito kweli kweli mshukuru mola km unafanikiwa tu kupata rizki na umzima wa afya hii dunia mtihani sn
Ni kweli mkuu ,lengo langu ni kuja kuacha kazi serikalini ili niweze kusimamia Mambo yangu ,kwa Sasa kwenye upande wa ufugaji wa kuku Niko vizuri ,siku nikifikisha mil 100 nitaacha kazi ,hivyo vitu nikivyoorodhesha hapo ni vingi lakini naanza na kimoja kimojaNduguyangu,mm mwenyewe ni Dr.kama ww hapo nanipo serikalini,,napia natokea hukohuko kanda ya ziwa,ushauri wangu mkuu,nikua kwanza pole kwa changamoto nyingi sana,kingine nikua malengo yako uliyoyaorodhesha hapo nimengi,mazuri nayenye kukukwamua kimaisha nakua mtu mwenye mafanikio,ila ningumu snaa narudia tena ningumu mno kuyatekeleza ukiwa umeajiriwa ktk hizi ajira zetu za serikali cjajua utachanga vipi karata zako hadi ufanikiwe kuwa mfanya biashara wa ku-run hizo business at the same time ukiwa muajiriwa wa serikalini kwenye changamoto lukuki,nakusihi jaribu kuacha kazi baada ya kua umepata mtaji either kwa kukopa then fanya mradi kama ulivyokua unafanya kule dar kabla hujaajilwa serikalini hapo unaweza kuadvance kabla hujawa mzee,naimani naww nikijana wa below40 tu.nawasilisha!!!!
AsanteNdugu na wanawake ndo wanakurudisha nyuma
Usiwape kipaumbele maana binadamu hajawahi kuridhika hata ufanye nini..so focus on yourself
Asante kwa ushauriMoja ya story inayohuzunisha Sana,
Cha muhimu achana na ndgu , saidia kidg Kwan we ukifa nani,
Saidia kiasi tu
Asante kwa umakini wakoMke wa kwanza alipata mtu akamwambia kuwa nakuacha.
Wa Pili alioa akiwa mentally unfit Tena single mama watt watatu .ama hujaelewa. Nesi alimuelewa pia nadhani.
Narudia kusema Kama kila siku kuwa wanaume tuko vizuri Ni mbususu ndio zinazotuangusha Basi. Yaani ikiwepo dawa ama kidonge unameza miaka mitano huna hisia unaweka Mambo yako sawa tungekuwa sawa. Niko primary namuomba Mungu anisaidie niende boarding school wanaume. Namshukuru nilipata hitaji langu
Mental ilines ni ugonjwa kama yalivyomengine ,ni ugonjwa kama Uti ,malaria na typhoid ,all part of the body can be affectedBado nina wasiwasi na story na hivyo ulisema ulishaenda milembe...
Any way pole sana mkuu
Poa mkuu nitakutafutaIla jamaa huyu Ni mpambanaji mno Nina Imani na wewe utatoboa.
Yaani aliyekuchomea kwa aliyekubinafishia labda alitaka aibe mbinu unazotumia.
Ila binadamu Ni wanyama kiasili.
Naomba tuwe tunabadilishana mawazo Kama hutojali your no kwa pm yangu.
Naona kwa mbali Kuna vinasaba vinashabihiana.
Ama hapa watu watahisi kuwa Kuna upigaji labda ama.
Ila let us be close, just kwa phone tu I can see Kuna something ahead
Nimeshaanza michakato japo uhamisho unasumbua hatariUshauri wangu rudi jijini Dar es salam , huko wilayani utatumia nguvu kubwa na miaka mingi sana ili kufika unapotaka kufika.
Tabu Ninayopata kutoka kwenye familia yangu -25
Tulivyorudi nyumbani nikamueleza baba mwanzo wa matatizo yote ,nikamwambia baba ngoja tu nitafute mwanamke mwingine nioe ,baba akaniambia ngoja ataongea nae
Basi baadae baba akamuita tukaanza kuongea basi akaonekana ameelewa ,baadae nikaingia ndani kunywa dawa akanipa dawa vizuri nikameza
Baadae akaniambia naomba uoe mwanamke mwingine ili akusaidie si unaona unaumwa , akaniambia kwani tokea nimekwambia hivi hujawahi kufanya maandalizi ya kutafuta mtu ,nikamwambia nilitafuta lakini bado hajanielewa ,basi akaniomba namba ya simu ya huyo Dada wakaongea kwamba ameruhusu Mimi nimuoe ,yeye atakuwa mke mkubwa halafu mwenga atakuwa mke mdogo
Baadae alivyomaliza kuongea nae akanisisitiza kwamba nihakikishe naoa ,kesho yake akawa ameondoka kurudi kazini
Baadae Mimi nikamwambia baba uyu mwanamke naona hanitaki Tena ,basi yule mke wangu alikuwa anakaa na mtoto wa shangazi yake ,Sasa uyo binti akanipigia simu akaniambia yule Dada yake siku hizi anamtu waga anakuja kulala pale nyumbani aise niliumia sana
Basi baadae baba aliondoka Mimi nikabaki pale na braza na wale watoto wa Dada yangu ,baadae nikafanya process ya kumuoa yule mwanamke ,niliona nichague mtu ambae hajasoma
Bado ndoa changa nikapata uhamisho wa kuhamia wilaya ingine uhamisho kutoka kwa RAs ,basi mke wangu alivyosikia nimeoa ndio ikawa tiketi ya kuniacha
Akawaambia kwao kwamba amenikuta nimeshaoa ndio maana ameamua kuniacha ,kumbe ile kunilazimisha kuoa alitaka apate sababu ya kuniacha
Unajua Kuna kipindi kaka yangu mtoto wa mama mkubwa alijiua kwa sababu mke wake ambae alizaa nae watoto wawili alimkataa ,japo nilikuwa nahuzunika lakini nilikuwa nishangaa ni kwa Nini braza ajiue wakati wanawake wapo wengi
Aise usiombe ikakukuta yaani hauoni another option Zaid ya hiyo ya kujiua ,
Yule mwanamke niliemuoa alikuwa single mother wa watoto watatu ,nae sijui alikuwa na mental trauma alikuwa ni mkorofi sana anapenda kugombana yaani ukimkosea kidogo tayari makofi
Sasa nikaona uyu tunaweza Kuna kuumizana tulibahatika kupata nae mtoto mmoja wa kike ,lakini baadae ilibid niachane nae
Mwaka huu nimeoa mke mwingine naomba mungu sana anijaalie nidumu na uyu,
Baadae yule mke wangu wa kwanza alinitafuta na kuniomba msamaha ilikuwa bado sijaoa uyu wa tatu lakini nikaona haina haja ya kuwa na mtu asie na msimamo
Ndio maana nikaona nioe tu mtu mwingine
Sasa tabu ninazopata kutoka kwenye familia yangu ni ;-
1 wazazi na ndugu hawaniongelei vizuri pindi ninapo oa ,mke wa kwanza waliongea Mambo mengi sana hasa mama
2-hata ukitoa msaada hawathamini siku ukiombwa na ukawa huna basi ni maneno mabaya mabaya wanakuongelea
3- mama Sasa hivi ameshazeeka lakini bado anang'ang'ania kufanya zile shughuli za uvuvi Kila siku ni kupoteza pesa ,anahitaji nimnunulie mashine lakini Mimi naona ameshachoka halafu Kuna wadogo zangu wapo chuo nikinunua hiyo mashine nitashindwa kuwasapoti
4 - nimeoa mke wa tatu ,mama alitoa maneno mabaya sana but Sina Cha kufanya Zaid ya kumshukuru mungu
Kule nilipohamishwa nilitengeneza mazingira mazuri sana lengo langu ni kufungua kampuni
Ambayo itakuwa ina deals with
1 .Agroproduction (kilimo na ufugaji )
Yaani na Lima nafuga pia nakuwa na mashine za kusanga na kukoboa halafu nafunga kwenye viroba nauza
2.viwanda vidogo vidogo kama mikate na mashine ya kuprocesa ngozi
3.usagirishaji (magari ya abiria
4.duka la dawa , zahanati na maabara
5.maduka ya jumla
6 .magari ya mizigo
Naamini nitafanikiwa kwa sababu naona kabis siwezi kubadili maisha yangu kwa kazi za kuajiriwa Tena humu serikalini kulivyo na changamoto
Ndio hivyo ndugu zangu ,naombeni ushauri wenu nifanye Nini ili niweze kufikia malengo yangu
Dunia tunayoenda nayo ni ngumu sana
Mwisho
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app