Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5


Mshana…Mshana…. Mshana upo wapi??? tayari huku kimewaka.
 
Mkuu hizi requirements zote ukienda kwenye maduka ya waganga na magenge ya wachawi unavipata bila shida.. ila mkuu nimegundua una roho ngumu kama malaika wa kuzimu..
 
Stress is real
 
Kuna mpuuzi mwingine kule jukwaa la siasa nae pamoja na upungufu wake wa akili bado alipewa tuzo
 
Kuna mpuuzi mwingine kule jukwaa la siasa nae pamoja na upungufu wake wa akili bado alipewa tuzo
Kwanini Mpumbavu na Mswahili Wewe hukuwa Nominated ili Wewe sasa ndiyo upewe Tuzo?

Sasa kama huna impact yoyote hapa JamiiForums, siyo Crowd / Readers Puller na huna Mvuto, Madini ( Akili ) utawezaje kupewa Tuzo au kuwa maarufu kama GENTAMYCINE na Wenzangu wote tuliopewa Tuzo hizo Tukuka?

Je, uko tayari tuuombe Uongozi wa JamiiForums utuandalie ( Mimi na Wewe ) Shindano lolote hapa kisha Watu ( Members ) wapige Kura uone kama Sitokushinda?

Sasa kama GENTAMYCINE nina Utajiri wa Followers 149+ hapa JamiiForums naweza Kweli Kutoshinda Shindano lolote lile nikiwa Nominated na Uongozi wa huu Mtandao?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Cc: Arovera
 
Sawa GENTAMYCINE The King
 
Hata ukipata vyote ulivyovitaja, JUMAPILI MTAPIGWA TU..!!
 
Duuuh πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Umeniharibia swaumu
 
Tuliosoma cuba, maana yake mnyama kafa tayari πŸ˜…πŸ˜…
 
No.4 nina njiwa pori ila vingine vyote ni kama vimekamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…