The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
- Thread starter
-
- #21
Mkuu umemaliza niseme nini cha ziada. Hata uromantic wanawake walioajiriwa hawana sura zimewakauka hauwezi hata kumsisimua kaisha sisimuliwa na mpera mpera na mauchovu ya "kazini"Wengi wanajikaza...nikiwaza ninavyorudi kazini nimechoka then na Mke wangu arudi kazini kwake nayeye amechoka then ni matumizi Mabaya ya Muda na fursa...
Kuna kipindi nilidate na msomi mwenzangu, anaweza kunipigia simu akihisi siko poa anasema basi ukiwa sawa utanitafuta. Halafu jinga linaamini linatosha kuwa mke. PumbaaavuNyie ndio mnaojua kututuliza wanaume na maisha yakaendelea, mnatujulia pale tunapokuwa na hasira, hofu, woga, mitanziko ya kila aina. Mnajua kutuliwaza, kutufariji na kutupa moyo pale mnapohisi tumepatwa na mitanziko...
Mkuu umeoa msomi mwenye ajira yake kwapani ?Nimejipiga ngumi kifuani mara tatu nikisema "mimi nimepatikana".
HaaaBado sijaolewa kuna mwanaume namsikilizia
uwe umeishia kidato cha nne sasa, naamini utampata huyoBado sijaolewa kuna mwanaume namsikilizia
Elimu sio mbaya ubaya uko kwa wasomiIla tunakoelekea ni kubaya sana ni ajabu watu wanapinga kuoa wasomi kwa sababu zilizoainishwa kwenye mada lakini wapo mstari wa mbele kuwasomesha watoto wao wa kike...
Ndio wenye elimu, kitu ni kile kileElimu sio mbaya ubaya uko kwa wasomi
"...ukishakosa utii kwa mume basi mahusiano hayana maana tena ..."Hujiona kama ni mtu anayeweza kuishi bila kumtegemea mwanaume, kwa hiyo hababaishwi wala hapangiwi. Ukishakosa utii kwa mwanaume basi mahusiano hayana maana tena.
tumefikiwaBora hata majobless tumekumbukwa.
Watakwambia una inferiorityWako baadhi wachache wako vizuri sana. Wangu alikuwa mtiifu na nidhamu sana pamoja na kazi na elimu, bahati mbaya Mungu akamchukua. Nimekuwa na mahusiano ya urafiki au mapenzi na waliosoma, hakuna wake pale.
Hakika sitooa mwanamke mwenye digrii hata kama mtamu vipi, nitaishia kumla tu
Huo uzuri tutamuuliza Baba yako. We utatudanganya tusimple chemical equation ni kwamba ukichukua elimu, ajira na kamshahara ukaviweka ndani ya specimen inaitwa mwanamke heshima na adabu huyeyuka toka kwa specimen hiyo...
Ni bora kuonekana hivyo kuliko kuwa na fahari wawili kwenye boma. Ikishauona ugumu wa kuishi na mwanamke asiye na utii basi fikiria kukaa mbali na dada msomi.Watakwambia una inferiority
kwanini mnateseka, ni kwasababu ya viburi, jeuri na ujuaji wenu uliotokana na kua na vijielimu na vijimshahara.Sio wote jamani, mbona wengine tunateseka tu kwenye hizo the so called ndoa
Mungu ajalie tu wasibadili mtazamo juu yetu ma joblesstumefikiwa
Nimeishia cha nne mkuu na division 4uwe umeishia kidato cha nne sasa, naamini utampata huyo
Mkuu pole kwa kuondokewa na shem Mungu ampumzishe salama.Wako baadhi wachache wako vizuri sana. Wangu alikuwa mtiifu na nidhamu sana pamoja na kazi na elimu, bahati mbaya Mungu akamchukua. Nimekuwa na mahusiano ya urafiki au mapenzi na waliosoma, hakuna wake pale.
Hakika sitooa mwanamke mwenye digrii hata kama mtamu vipi, nitaishia kumla tu