Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Peace upon you all Kings and Queens,

Maisha yana mengi ya kujifunza ila kuna ukweli ulio wazi hauhitaji darasa. Maisha yana mengi tusiyojua ila kuna mambo yako wazi na watu wanafiki pekee ndio hujifanya wawaoni uhalisia, shame to them all, fake fellas.

Nevertheless, nitasema hivyo hivyo. Tafadhali na chonde nakusihi hebu nidanganye jambo lingine lolote sio eti "mwanamke mwenye kaelimu kama kadegree na ajira na kamshahara kake ati akaolewa na awe na heshina na adabu kwa mumewe".

Wanaume walioa wanawake wenye viajira (nawaonea huruma, nawashangaa na kuwadharau same time kwanini walijitwisha gunia la misumari wakati walikua na option ya kubeba gunia la tende) wananyooshwa ipasavyo na wanagugumia maumivu kimya kimya nyatu nyatu wasijue watajinasua vipi. Hapo ukute wanaishi kwenye kanyumba ambako wote "wamechangia vijimkopo" hawezi kufanya lolote.

Mwanamke anajiona yuko sawa na mume na infact anahisi yuko slightly one notch higher kwa kua sheria zinambeba, kuna ustawi ya jamii hapa na madawati ya jinsia pale yote yako upande wake qmamae. Na tambua fika kua mwanamke mwenye ajira anaithamini ajira yake kuliko ndoa.

Ewe ijana mwenye maono ya maisha ya amani mbele yako, sikufahadu hunifahamu ila nikushauri dogo, acha ujinga wa ati "nioe mwanamke wa kusaidiana maisha" acha upumbavu dogo mwanamke hatakusaidia kwa lolote hawa viumbe ni wabinafsi pro max.

Na hiyo ajira yake hautaona hata shillingi mia yake in addition hata hudumia familia wala watoto kila kitu itakua dada wa kazi huku yeye akijawa kiburi, jeuri na ujuaji sasa mwanamke wa hivyo wa nini eti ndugu ?!

Tafuta mwanamke mwenye tabia njema, mcha mungu na mwenye adabu ASIYE NA AJIRA oa huyo utakuja kunishukuru.

Tafiti zinathibitisha ndoa za mwanaume mtafutaji na mama wa nyumbani kufurikwa na amani na furaha. (Jifanye simp utakuja kufa kwa mastroke na utuachie huyo feminist tukimtomber)

Ukishupaza shingo utakuja kujuta kama wanaume wajinga wengi wa kileo wanaoishi kama kunguni ndani ya nyumba zao wenyewe. Mafahari wawili hawakai zizi moja.

Hakuna narudia hakuna aise HAKUNA mwanamke mwenye kaelimu mbuzi na kaajira asie na chembe chembe za ufaminism HAKUNA. Watajishaua nye nye nye mimi sio feminist bla bla ila matendo yao ni full feminists.

Hata uromantic wanawake walioajiriwa hawana sura zimewakauka ni kama manaume tu au tuseme madumejike the work environment inawafanya kua mangangari ngangari tu jambo dogo ligi aise hauwezi hata kumsisimua kaisha sisimuliwa na mpera mpera na mauchovu ya "kazini"

simple chemical equation ni kwamba ukichukua elimu, ajira na kamshahara ukaviweka ndani ya specimen inaitwa mwanamke heshima na adabu huyeyuka toka kwa specimen hiyo.

Screenshot_20220408-142809_Quora.jpg
 
Bora hata majobless tumekumbukwa.
Nyie ndio mnaojua kututuliza wanaume na maisha yakaendelea, mnatujulia pale tunapokuwa na hasira, hofu, woga, mitanziko ya kila aina.

Mnajua kutuliwaza, kutufariji na kutupa moyo pale mnapohisi tumepatwa na mitanziko.

Kiukweli kabisa nyie ndio mnaopaswa kuwekwa ndani, kulindwa, kuthaminiwa, kutunzwa na kupewa kila aina ya mapambo na mataji.

Nyie ndio Super women.
😘😘😘
 
Peace upon you all Kings and Queens,

Maisha yana mengi ya kujifunza ila kuna ukweli ulio wazi hauhitaji darasa. Maisha yana mengi tusiyojua ila kuna mambo yako wazi na watu wanafiki pekee ndio hujifanya wawaoni uhalisia, fake fellas...
Kweli kabisa.kwanza wamama wa nyumbani NI waoga kuachwa halafu Adabu lazima awe nayo.
 
Wanaume walioa wanawake wenye viajira (nawaonea huruma, namashangaa na kuwadharau same time kwanini walijitwisha gunia la misumari wakati walikua na option ya kubeba gunia la tende) wananyooshwa ipasavyo na wanagugumia maumivu kimya kimya wasijue watajinasua vipi. Hapo ukute wanaishi kwenye kanyumba ambako wote "wamechangia vijimkopo" hawezi kufanya lolote.
Wengi wanajikaza...nikiwaza ninavyorudi kazini nimechoka then na Mke wangu arudi kazini kwake nayeye amechoka then ni matumizi Mabaya ya Muda na fursa.

Kama mwanaume usipende mteremko eti ukioa msomi anayefanya kazi atakusaidia kwenye maisha ya nyumbani, wengi huishia maugomvi tu maana pesa ya mwanamke hailiwi hata chumvi hainunui.

Ukifika nyumbani Let it be a small palace for a small king like Me.

Yaani Msosi wa maana umepikwa kwa utulivu na hisia, watoto wasafi na wamekula chakula kizuri, nyumba imependeza na imepambwa.

Haya huwezi kuyapata kwa Graduate wa CBE mwenye Kazi Posta na mshahara wa laki Sita tu.
 
Huwa wanajiona kama wameshamaliza kila kitu, kumbe ukija kwa watoto malezi sifuri na kujiona wamama wa kisasa na kupenda kushindana na waume zao.
Hujiona kama ni mtu anayeweza kuishi bila kumtegemea mwanaume, kwa hiyo hababaishwi wala hapangiwi. Ukishakosa utii kwa mwanaume basi mahusiano hayana maana tena.
 
Simple chemical equation ni kwamba ukichukua elimu, ajira na kamshahara ukaviweka ndani ya specimen inaitwa mwanamke heshima na adabu huyeyuka toka kwa specimen hiyo.

Ila mama zangu Nawatoa kwenye hilo kundi wamesoma na wako vzr
 
Hujiona kama ni mtu anayeweza kuishi bila kumtegemea mwanaume, kwa hiyo hababaishwi wala hapangiwi. Ukishakosa utii kwa mwanaume basi mahusiano hayana maana tena.
Hawajui majukumu ya mke kwa mumewe na hata kama wakijua hupotezea na kujiona kama vile wako sawa ndani ya nyumba, hivyo utii kwenye nyumba huyeyuka!
 
Duuh Okwi ndio tumetika huko?

Waliosoma na wanafanya kazi let us be fair hawawezi kutimiza Domestic responsibilities maana wanachoka pia hawana miili ya Miti.
Wako baadhi wachache wako vizuri sana. Wangu alikuwa mtiifu na nidhamu sana pamoja na kazi na elimu, bahati mbaya Mungu akamchukua. Nimekuwa na mahusiano ya urafiki au mapenzi na waliosoma, hakuna wake pale.

Hakika sitooa mwanamke mwenye digrii hata kama mtamu vipi, nitaishia kumla tu
 
Back
Top Bottom