adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Yesu kuja ni bado sana.Ishi subiri ufe uje uchimbwe mafuta million years huko mbeleni.Dunia bado mbichiiii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Usijiaibishe, mkuu. Anayepiga kura kuhusu Yesu ni nani hapa? Hii inaitwa Forum Poll
Kama hujui faida ya poll, ngoje nikumegee:
1️⃣ Encourages Engagement – Polls make discussions more interactive by encouraging users to participate and share their opinions.
2️⃣ Quick and Clear Feedback – Instead of long debates, a poll provides instant insights into what the majority of the community thinks.
3️⃣ Data-Driven Decision Making – Results help forum moderators or members understand trends, preferences, and opinions in an organized way.
4️⃣ Sparks Further Discussion – A simple poll can lead to deeper discussions, as people explain their choices and debate different viewpoints.
5️⃣ Anonymous & Inclusive Participation – Users who may not feel comfortable posting long replies can still express their opinions through a simple vote.
6️⃣ Reduces Spam and Off-Topic Comments – Since users can express their stance with a single click, it minimizes unnecessary or repetitive replies.
7️⃣ Saves Time – Polls provide a structured way to gauge opinions without requiring lengthy explanations from each participant.
8️⃣ Visual Representation of Opinions – Polls often include percentages, making it easier to grasp public sentiment at a glance.
9️⃣ Increases Objectivity – A poll prevents heated arguments and emotional bias by focusing on collective results rather than individual opinions.
🔟 Easy to Set Up and Moderate – Compared to open-ended discussions, polls are simple to create, monitor, and analyze.
Mithali 4:13
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake...
Namaanisha wengi wana taswira yao kichwani teyari ya Yesu na Mungu wao kutokana na mapokeo,ila Muumba alishasema akili yake haichunguziki.Duh, aliyekuelewa anifafanulie hoja yako.
Kwenye io dhiki itabidi wayatoe maisha yao KRISTO, ndio wataungana tena na walionyakuliwa.Hatujui yatakayojiri 2040.
Yesu akirudi kabla ya mwaka huo uko tayari kunyakuliwa? Kama bado, tubu dhambi zako sasa na umwamini Yesu, usije ukaachwa. Baada ya Yesu kuja na kuwachukua watakatifu, watakaoachwa duniani wataingia katika dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Haitakuwa rahisi kihivyo. Kitabu cha Ufunuo kinaeleza kuwa mapigo watakayoyapata yatakuwa mazito sana, lakini ajabu watu badala ya kuutubia uovu wao watazidi kumtukana Mungu!Kwenye io dhiki itabidi wayatoe maisha yao KRISTO, ndio wataungana tena na walionyakuliwa.
1 Wathesalonike 4:16 (SRUV)Kwakuwa Hujasema Anakuja Wapi Nimekupa Kura ya Ndiyo
Kwani Mbinguni Ni Wapi Ni mawinguni Au ni wapi?1 Wathesalonike 4:16 (SRUV)
Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
Kwa Andiko hilo ni wazi atakuja duniani, lakini this time, hatakanyaga ardhini, badala yake ataishia mawinguni. Kufumba na kufumbua, waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza na kujiunga na wale watakaokuwa hai, kisha sote tutanyakuliwa na Yesu kwenda kwenye Arusi ya Mwanakondoo🙂
Wewe unafikiri atakuja wapi, Israeli?
NajuaHaitakuwa rahisi kihivyo. Kitabu cha Ufunuo kinaeleza kuwa mapigo watakayoyapata yatakuwa mazito sana, lakini ajabu watu badala ya kuutubia uovu wao watazidi kumtukana Mungu!
Ni sawa. Hiyo itakuwa kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!Najua
Ila ukiisoma vizuri hicho kitabu pameelezea kuna watu baadhi watashinda.
mkuu nimekuwa nikiwaza sana jambo hili... naona kama hatuko mbali sana na ujio wa bwana.....nimesikia kuwa wayahudi hivi karibuni wanataka kuanza kujenga hekalu la tatu..... sijui ni kweli...????2040
Mnaweza msitoboe hapa duniani.
Ni kweli. Wako kwenye maandalizi. Kilichokuwa kinasubiriwa ni kupata ng'ombe wekunde wasio na doa kabisa.kuwa wayahudi hivi karibuni wanataka kuanza kujenga hekalu la tatu..... sijui ni kweli...????
🤣🤣🤣Yesu kuja ni bado sana.Ishi subiri ufe uje uchimbwe mafuta million years huko mbeleni.Dunia bado mbichiiii..
Sijafatilia ila kuna dalili za kuja kwake na dalili ya juja kwake, hapo kwenye za , zimeshatimia , naona imebaki moja ya .....mkuu nimekuwa nikiwaza sana jambo hili... naona kama hatuko mbali sana na ujio wa bwana.....nimesikia kuwa wayahudi hivi karibuni wanataka kuanza kujenga hekalu la tatu..... sijui ni kweli...????
Wewe ni mgeni JamiiForums? Polls ni kitu cha kawaida kwenye forums na social media zote. Polls zina faida kubwa sana ila members wengi humu hawajajua jinsi ya kuzitumia.Tahadhari tu. Kipindi hiki kina mashahidi wengi wa uongo na ushetani mwingi. Take care kujiingiza kupiga kura katika vitu ambavyo hujui msingi wake
Mimi ni kikongwe humu. Sijaogopa. nachukua tahadhari kwa mambo haya kiroho zaidi.Wewe ni mgeni JamiiForums? Polls ni kitu cha kawaida kwenye forums na social media zote. Polls zina faida kubwa sana ila members wengi humu hawajajua jinsi ya kuzitumia.
Maelezo ya kupiga kura si yote yameandikwa?
Kinachokuogopesha ni nini?
Atakuja kama jinsi mwizi ajavyo, "ghafla"Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo?
Jibu NDIYO au HAPANA
Maelezo ya Upigaji Kura:
=============
- Huruhusiwi kubadili jibu lako ukishapiga kura
- Kura hii ni ya wazi hivyo idadi ya kura/matokeo yataonyeshwa publicly
- Lakini usipopiga kura hutaweza kuona matokeo!
- Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku 10 tu
Kama unaamini kuwa Yesu yuaja upesi tafadhali piga kura yako ya NDIYO, usimuonee Yesu aibu na maneno yake. Luka 9:26
"Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu."
Kama huamini kuwa Yesu yuaja upesi, uwe mkweli tu, piga kura ya HAPANA
Kwahiyo Yesu ndio kwanza ana siku 2 tokea afike mbinguniMaandiko yanasema kwa Mungu miaka 1000 sawa na siku 1.
Tunamsubiria yule mnyama wa ufunuo(the beast)Sijafatilia ila kuna dalili za kuja kwake na dalili ya juja kwake, hapo kwenye za , zimeshatimia , naona imebaki moja ya .....
Chukio la uharibifu.