Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Kama kusema ukweli ni dhambi basi nimetenda dhambiYalivyo majinga, yatakuja kukutuhumu kwa uchochezi badala ya kufanyia kazi hayo mapungufu!
Labda hivyo vyoo ni sehemu ya mbuga za wanyama, section ya wadudu😂 na uyogaKama kusema ukweli ni dhambi basi nimetenda dhambi
Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
Kwahio sehemu ikishakuwa ndani ndani hakutakiwi kufanyiwe usafi 😀Hao jamaa huwa wanaweka watu wa kuosha kila wakati, labda ulipo ni very very very remote
Ngorongoro sio TANAPAHichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
Kwahio sehemu ikishakuwa ndani ndani hakutakiwi kufanyiwe usafi 😀
lakini hii kali uyoga umechanua 😆 mwili umenisisimka
Sehemu ikiwa remote siyo muhimu kufanyiwa usafi? Simba campsite ni remote?Hao jamaa huwa wanaweka watu wa kuosha kila wakati, labda ulipo ni very very very remote
Halafu bado watu wanababuka midomo kwa kunyonya mbususuAlafu kuna watu bado wanakula uyoga na kujilamba kabisaaa!
Wewe taahira acha kubisha kwenye hakuna.Umewahi kwenda Serengeti mara ngapi? Mimi labda mara 200, kuna maeneo hayatembelewi sana, kwa hiyo ni possible kabisa umakini huko hakuna, lakini ukitaka kubisha na kuwa mjuaji maana shemeji kakupelekeni Serengeti leo, ni sawa.
Wewe taahira acha kubisha kwenye hakuna.