Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Umewahi kwenda Serengeti mara ngapi? Mimi labda mara 200, kuna maeneo hayatembelewi sana, kwa hiyo ni possible kabisa umakini huko hakuna, lakini ukitaka kubisha na kuwa mjuaji maana shemeji kakupelekeni Serengeti leo, ni sawa.
Wapi wewe, vyoo vingi vya public huko hifadhini ni kawaida kabisa kukuta hakuna maji, au vyoo vichafu. Kwenye hoteli za watu binafsi huko ndio ukienda sio rahisi kukuta pachafu.