Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

Kukosekana daily inspection ni tatizo kubwa Tanzania utendaji unakufa baada ya mtu kuanza kushika lundo la pesa, waulize hao wajinga kila muda wanachati wakiwa ofisini lakini utaambiwa gari bovu, mafuta hamna, store vitu vimeisha, na hio centralized payment system ndio hutumika kama kisingizio.
 
Vyoo vya Seronera uwanja wa ndege havitoshi.
Msimu huu wageni wengi sana!

NB: Wapunguze upigaji. Wawekeze kwenye customer care!
 
Back
Top Bottom