PETER THE ROCK
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 528
- 807
Hili ndilo tatizo la Tanzania na sehemu nyingi za Afrika. Utamaduni wa kuwekeza kwenye usafi wa choo haupo. Najua hata sehemu za Asia utamaduni huo haupo. Lakini Latin Amerika na China, hawatofautishi usafi wa sahani ya chakula na sahani ya chooni! Lakini kwa Tanapa ambao wamesomea kazi zao ni uzembe usio kifani kuacha vyoo kwenye hali hiyo!Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
Excuses are like assholes. Everybody has one, and they all stinkUmewahi kwenda Serengeti mara ngapi? Mimi labda mara 200, kuna maeneo hayatembelewi sana, kwa hiyo ni possible kabisa umakini huko hakuna, lakini ukitaka kubisha na kuwa mjuaji maana shemeji kakupelekeni Serengeti leo, ni sawa.
Duh chawa na nyie hamchokagi,mambo ya Mama hapo yametoka wapi tena.Asante ndugu kuna watu hapo wa kufukuzwa kazi mara moja, Asante kwa kufichua haya, mama anafanya kazi ngumu kweli kuita wageni halafu wachache nao wanafanya kazi kwa nguvu kuharibu.
Huoni hili linaharibu mfumo na kukimbiza watalii.Duh chawa na nyie hamchokagi,mambo ya Mama hapo yametoka wapi tena.
Watu wa mikoani swala la usafi ni zero bora ukae Tanagale lakini iwe DarHichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]U.T.I ya hapo ukibeba unaweza tumia dose kibao kuitibu na itakugharimu sana... [emoji3][emoji3]
Hii nchi tushalaaniwa...
Hilo nalo nendeni mkalitizameHichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
SafiLabda hivyo vyoo ni sehemu ya mbuga za wanyama, section ya wadudu😂 na uyoga
Kuita wageni wakati yeye mwenyewe ndiye kageuka mtalii. Ni wazi ataivunja ile rekodi ya Vasco da gama wa msoga.Asante ndugu kuna watu hapo wa kufukuzwa kazi mara moja, Asante kwa kufichua haya, mama anafanya kazi ngumu kweli kuita wageni halafu wachache nao wanafanya kazi kwa nguvu kuharibu.
Kwa picha hiyo sitokaa niguse uyoga kamweKwahio sehemu ikishakuwa ndani ndani hakutakiwi kufanyiwe usafi [emoji3]
lakini hii kali uyoga umechanua [emoji38] mwili umenisisimka
Kama kusema ukweli ni dhambi basi nimetenda dhambi