Kukosekana daily inspection ni tatizo kubwa Tanzania utendaji unakufa baada ya mtu kuanza kushika lundo la pesa, waulize hao wajinga kila muda wanachati wakiwa ofisini lakini utaambiwa gari bovu, mafuta hamna, store vitu vimeisha, na hio centralized payment system ndio hutumika kama kisingizio.