GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa ameshaaga sasa ajichanganye yamkute ajute.
Akamuulize Msheli wa hapo Jirani na Mtaa wao Kariakoo nini kilimtokea alipoanza nae kutaka Kumpuliza anayejua 'Kupuliza' tokea Kwao Mali Mpya. Umeshaambiwa mataifa yote ya Afrika Magharibi tabia ya 'Kupuliza' inarithishwa Vizazi na Vizazi halafu umetoka zako tu huko Morogoro unamjaribu. Mshelisheli hana hamu nae tena Jigi Nahara Kudadadeki.