Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa ameshaaga sasa ajichanganye yamkute ajute.

Akamuulize Msheli wa hapo Jirani na Mtaa wao Kariakoo nini kilimtokea alipoanza nae kutaka Kumpuliza anayejua 'Kupuliza' tokea Kwao Mali Mpya. Umeshaambiwa mataifa yote ya Afrika Magharibi tabia ya 'Kupuliza' inarithishwa Vizazi na Vizazi halafu umetoka zako tu huko Morogoro unamjaribu. Mshelisheli hana hamu nae tena Jigi Nahara Kudadadeki.
 
Kramo mbona alipigwa msumari 10" na hajafanya lolote pamoja na kutoka huko magharibi unapopasifia?
 
Ila Ayoub kaumizwa na Manula,nasikia kwenye ule mbuyu wao kule Kolelo Manula aliambiwe akapigiie msumari wa inchi sita yeye kashindilia nondo ya mm 10 ya urefu wa inchi 36, anasema yule hadaki tena mprira maisha yake yote, ogopa Morogoro.
Waluguru hatari sana hata Mkude kawaumiza wengi pale Simba, Fraga, Thadeo Lwanga wote hao ni wahanga wa Mkude
 
Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa ameshaaga sasa ajichanganye yamkute ajute.

Akamuulize Msheli wa hapo Jirani na Mtaa wao Kariakoo nini kilimtokea alipoanza nae kutaka Kumpuliza anayejua 'Kupuliza' tokea Kwao Mali Mpya. Umeshaambiwa mataifa yote ya Afrika Magharibi tabia ya 'Kupuliza' inarithishwa Vizazi na Vizazi halafu umetoka zako tu huko Morogoro unamjaribu. Mshelisheli hana hamu nae tena Jigi Nahara Kudadadeki.
karne ya 21 bado unaamini madogori
 
Back
Top Bottom