Wanaoombea wafu wanafanya hivyo kwa kunukuu kitabu cha Wamakabayo. Hapo vipi, mkuuKatika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Hakika.... vitabu vya makabayo havijavuviwa na ROHO mtakatifu.Wanaoombea wafu wanafanya hivyo kwa kunukuu kitabu cha Wamakabayo. Hapo vipi, mkuu
Subiri kwanza uwe mfu ndio uje na hizi ngonjera zakoKatika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Kama ni hivyo basi na nyinyi muache mara moja kutupigia makelele ya kufukuza mapepo.Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Sijakuelewa. Unataka kutumia andiko hilo kuhalalisha kuwaombea wafu, au?Yesu alivyopanda juu ya mlima alionekana anaongea na watakatifu wawili.
Kushoto kwake na kuume kwake
Wanasema alikuwa Eliya na Musa.
Sasa Musa alikuwa hai au Eliya?
Sasa mpendwa wangu, tangu uanze kuwaombea wafu wanaokuhusu, Mungu ameishakujibu kwamba ameishawahamishia eneo jingine?Nikiwaombea wafu wanaonihusu wewe inakuhusu nini?kwanini kujitia umuhimu kwenye mambo unayoona wewe hayakufai!
Mboni unapokaa huko kusengenya watu kuzini kuiba huiti watu waje kushuhudia na kukukanya wewe upo tu kuwakanya watu hata hawakuhusu kama kulima unakuona rahisi nenda wewe kalime achia wenye kuombea wafu waombee wafu wao.