Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu.

Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi hizi bangili huvaliwa na wazee wa ukoo huwa tunaita mate ndele au unakuta bibi mzee kabisa amexhorwq mistari nyeusi kila upande wa paji la shavu.

Kwanini usivae bila maelekezo ni kwamba hizi bangili hutegemeana na aina ya mizimu ya ukoo wenu kila ukoo au kabila linanizimu yake na hio mizimu inautaratibu wake sasa ikitokea wewe umenunua bangili ya gold wakati mizimu yenu inapenda shaba hapo ndo chanzo cha matatizo kwako wewe uchumi wako utaanza kudolola, matatizo kibao ,mikosi na mabalaa maana sasa unaingia vitani na wazee wako wa zamani kwamba unapingana na energy yao.

Masaai ni wajanja janja sana hawezi kukwambia yeye anajali pesa mfukoni.
NB: mnaojifanya walokole dini zililetwa na wazungu tu just imagine kama wazungu wasingefika africa ingekuaje??

●Fata principal za ukoo wa babu na mababu zako acha upumbavu
images.jpeg
 
Vipi kwa wale ambao wanaaa kama urembo.
Alafu hii kitu wanapenda sana kuvaa madereva na mafundi,ukute hii kitu inafaida zake ila wewe umeamua kuja kututisha tu mkuu.
Ungeweka faida zake na hasara zake
 
Imani za kishirikina si ujanja ni uzumbukuku wa maarifa.
Muulize baba ako huenda mimba yako ilitungishwq baada ya kuhuzzulia unaouita ushirikina, na serikali imetambuq mchango na sasa waroto wetu wanafundishwa wasijekuwa kama wewe hili soma linaitwa historia na maadili anyway fata wazungu tusikuforce
 
Back
Top Bottom