Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

Na
Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu.

Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi hizi bangili huvaliwa na wazee wa ukoo huwa tunaita mate ndele au unakuta bibi mzee kabisa amexhorwq mistari nyeusi kila upande wa paji la shavu.

Kwanini usivae bila maelekezo ni kwamba hizi bangili hutegemeana na aina ya mizimu ya ukoo wenu kila ukoo au kabila linanizimu yake na hio mizimu inautaratibu wake sasa ikitokea wewe umenunua bangili ya gold wakati mizimu yenu inapenda shaba hapo ndo chanzo cha matatizo kwako wewe uchumi wako utaanza kudolola, matatizo kibao ,mikosi na mabalaa maana sasa unaingia vitani na wazee wako wa zamani kwamba unapingana na energy yao.

Masaai ni wajanja janja sana hawezi kukwambia yeye anajali pesa mfukoni.
NB: mnaojifanya walokole dini zililetwa na wazungu tu just imagine kama wazungu wasingefika africa ingekuaje??

●Fata principal za ukoo wa babu na mababu zako acha upumbavuView attachment 3543316
Na ukivaa kacha au urembo wowote usio wa shaba mkononi nako mizim itakasirika maana inapenda tuu vitu vya shaba duuh kweli wee hatare
 
ukiona mtu amevaa mabangili ya shaba au ya fedha au yenye mchanganyiko na shaba na fedha.

ukiona mtu amevaa mapete ya mvuto..

basi katika 10 nusu watakuwa na ushirikina ..mimi nilikuwa mshirikina nilikuwa natambikia mizimu kabla sijaokoka ..nayajua sana ..na nilinunua bangili la mzimu wa mdiimi..nikalipekeka kwa mganga wa kienyeji likafanywa dawa ndio nikalivaa..

japo kuna wengine wanavaa kwa kuiga kama fasheni hawajui maana yake..

ila huo ni mkataba(maagano) na falame za giza za kuzimu..mapepo.

NI KITU KIBAYA SANA..SHEATANI/JINI/MIZIMU siyo rafiki yako..lengo ni kukutimikisha ..UWE MTUMWA KWAO..na uiabudu na KUNA MASHARTI..

mwisho wake ni kukuingiza motoni kuzimu na kukutesa duniani..kama mimi mwisho wa siku ilitakiwa niwe mganga wa kienyeji..na Mchawi na mganga wa kienyeji ni kitu kimoja.

mganga anatumia MAJINI au mizimu ambayo nayo ni majini ..kufanya uganga na mchawi anatumia hayo hayo.

madhabahu anayotumia mganga wa kienyeji ndio madhabahu ya wachawi na miungu yao ni hiyo hiyo ndiyo madhabahu ya lucifer shetani..yani ni kama trafiki polisi na polisi wa kawaida wote ni kitu kimoja.

binadamu wote sisi ni sawa hakuna aliyezaliwa mchawi au mganga ..kinachofanya mtu awe mchawi mganga wa kienyeji ni haya MAJINI au MIZIMU au WALIMU sharifu majini...ukimuondolea mizmu na majini ..mchawi au mganga hawezi ..kama mimi nilitakiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa sababu nilikuwa na mizimu au majini kichwani..

na mganga wa kienyeji anapotaka kukuagua kukutibu anaita mizimu au majini yake anayapandisha kwanza.

na mchawi anapotaka kuloga anatumia hayo majini..kuna wacahwi wengine wanaloga bila ufahamu wao ina maana wao wanakuwa kama wamelala ila roho ya majini iliyomo ndani yao ndio inayologa.

unaweza kuona ni bangili tu la kawaida linakupa ulinzi au pete tu..ila ni agano na mapepo..ni kitu kibaya sana ..

mtegemee Mungu aliyekuumba muumbaji wa viumbe vyote usitegemee bangili pete na mizimu na majini...MUNGU ANATOSHA .
 
Attachments

  • sddefault.jpg
    sddefault.jpg
    36.4 KB · Views: 20
  • 1935_East_African_5_cent_coin_obverse.jpg
    1935_East_African_5_cent_coin_obverse.jpg
    641.3 KB · Views: 20
  • FB_IMG_1441135967436.jpg
    FB_IMG_1441135967436.jpg
    41 KB · Views: 20
1)ukiona mtu amevaa haya mapete ya mvuto au bahati
2)ukiona mtoto mdogo amevalishwa/amefungwa kitambaa cheusi mkononi
3)mabangili ya shaba au fedha au mchanganyiko wa shaba na feza
4)amevalishwa kitambaa na sarafu ya fedha za zamani zenye tobo katikati

haya yote nyanahusuana na mizimu/majini/ushirikina.

kuna siku kaja omba omba mlemavu kuomba msaada wa fedha dukani kwangu kwenye biashara ,anaomba pesa akiwa kwenye baiskeli ya walrmavu ,nampa fedha anapokea na mkono ule amenyosha amevaa babangili..nilipoliona nikalishika nikamuuliza hili bangili umevaa lina kazi gani...

akaanza kujiuma uma..

nikasema moyoni hata kama unampango wa kufanya chuma ulete hapa dukani kwangu hautafanikiwa kwa sasa hayo mabangili nayajua nilisha yavaa sana nikayaacha.
UMEKUTANA na mwenye kumtumaini YESU ni kama mlima wa sayuni..

nikampa msaada wake akaondoka ..akiwa na maswali kichwani..huku anaona aibu na kutetemeka ..akajia hayo mabangili na mimi nayajua na kazi zake.
 
na watu waache kuchanja chale aisee mpaka maofisini huku naona wasomi kabisa wamechanja chale...ina maana wanaenda kwa waganga wa kienyeji..

HIZI CHALE MNAZOCHANJA waganga wa kienyeji wanawadanganya kuwa ni ulinzi wenu,ama ni kisafisha nyota ni ouongo...chale ni maagano ya damu ni kitu kibaya sana kuchanja chale mwilini mwako..

KWENDA KWA MGANGA WA KIENYEJI ni kitu kibaya sana kwako...ni hasara kubwa sana ..

usimtegemee mwanadamu na mapepo...

WEWE NI MFALME ni mtoto wa Mungu..unaa nguvu kubwa kuliko hata hayo majini kupitia YESU ,kwa nini unaenda kujipeleka mwili wako kwa mganga auchanje chale na kukuingiza katika maagano na kuzimu ...unaabeba laana na mikosi ndani ya damu yako na kizazi chako..

mana pepo hawezi kumtoa pepo mwenzake...yani kesi ya nyani haiwezi kutatuliwa na ngedere au kima wakati wote ni familia.
MCHAWI na MGANGA WA KIENYEJI wao ni chama kimoja ba bosi wao ni mmoja madhabahu yao ni moja na shetani.

watakachokifanya watamuita pepo aliyoko ndani yako watampandisha akipanda watamsihi atulie aseme anataka nini atasema masharti yake atatulia kwa muda

au watakuingizia pepo lingine tena litakalo tuliza jambo lile kwa muda ,na mapepo mengine waliyokuwekea yatakuletea matatizo mengine mapya

ukishaanza kwenda kwa waganga wa kienyeji hiwezi kuacha utakuwa unazunguka kwa waganga kila siku

utaishi maisha ya hofu na mashaka

utamuona kila mtu ni adui yako

mganga akikulia hela sana ana kupass anakuelekeza kwa mganga mwingine ambaye ni rafiki yake ..ili wakulie hela kama matrafiki barabarani anampigia simu trafiki wa mbele akusimamishe tena .

Mwisho wa siku ni kuwa mshirkina au mwanga unapooenda sana kwa waganga unakuja kuishia kuwa mwanga au mganga na mwisho wake ni mbaya ...gharama yake ni kubwa masharti na mwisho wake ni kuaibika.

Yesu anakupenda ambaye ndiye dawa ya yote..usiteseke na waganga wa kienyeji...yupo YESU aliyeteseka kwa ajili yako ili wewe usionewe tena na shetani uwe mzima upone na matatizo yako yote hata kama umekosa msaada kwa wanadamu ,YUPO MUWEZA WA YOTE YESU KRISTO.
 
Mimi niliteseka sana na MIZIMU ya uganga ,nimezinguka sana kwa waganga wa kienyeji,nimevaa hayo mabangili ,mahirizi,maushanga ya begani,nimechanjanmachale ,nimekunywa madawa na kuoga madawa ,nimefukiza madawa,mengine unachapwa na fagio lililowekwa kwenye maji ya dawa..

chale mwili mzima..

lakini mwisho wake ni kuteseka tu..

hakuna amani ya kweli,zaidi ya hofu na mashaka ..

hakuna uponyaji wa kweli..

sadaka za makafara nilizotoa kwa waganga wa kienyeji ni nyingi sana na za gharama..na ilikuwa ni muendelezo leo kwa mganga huyu keshokutwa kwa mwingine...na mganga anakutisha unalogwa na huyu...mizimu hii mizimu ile..

mizimu inataka hiki..

mizimu inatak kile

mizimu imesema hivi...

LAKINI KWA YESU ...kuna raha,furaha ya kweli,amani,ujasiri,upole,upendo...

YANI HATA USINGIZI UNALALA kwa amani bila kuota mandoto ya kutisha...mara upo makaburini mara unakimbizwa .mara unalishwa ndotoni mara mtu amekukalia usiku ukiwa umelala...sleep paralysis hakuna tena.

HOFU ya uchawi majini nankukogwa hakuna..hofu ya masharti ya waganga hakuna..

YESU ANAWEZA YOTE..

mtegemee Mungu muumbaji wa vyote usitegemee Mizimu..wala mganga wa kienyeji

usitegemee KITU bangili au HIRIZI.

Mungu ndiye awe tumaini lako na tegemeo lako.

HIRIZI YA BANGILI AU PETE HAITAKUSAIDIA mwisho wako ni mbaya.SHETANI MAJINI NA MIZIMU SIYO RAFIKI ZAKO...ipo kwwa ajili ya kukufanya mtumwa kwayo.
 
Walokole bn hahahaha daah
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nilijua ni iWatch na mizimu ya Steve jobs inayoweza kukonect na iPhone bila kusahau satelites za Elon, kumbe ile mizimu ya kuvaa ngozi na kuvuja kamasi wakati wanaota moto wa kuni?

Ah! Bongo bahati mbaya yani
 
Back
Top Bottom