Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Na ukivaa kacha au urembo wowote usio wa shaba mkononi nako mizim itakasirika maana inapenda tuu vitu vya shaba duuh kweli wee hatareUmeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu.
Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi hizi bangili huvaliwa na wazee wa ukoo huwa tunaita mate ndele au unakuta bibi mzee kabisa amexhorwq mistari nyeusi kila upande wa paji la shavu.
Kwanini usivae bila maelekezo ni kwamba hizi bangili hutegemeana na aina ya mizimu ya ukoo wenu kila ukoo au kabila linanizimu yake na hio mizimu inautaratibu wake sasa ikitokea wewe umenunua bangili ya gold wakati mizimu yenu inapenda shaba hapo ndo chanzo cha matatizo kwako wewe uchumi wako utaanza kudolola, matatizo kibao ,mikosi na mabalaa maana sasa unaingia vitani na wazee wako wa zamani kwamba unapingana na energy yao.
Masaai ni wajanja janja sana hawezi kukwambia yeye anajali pesa mfukoni.
NB: mnaojifanya walokole dini zililetwa na wazungu tu just imagine kama wazungu wasingefika africa ingekuaje??
●Fata principal za ukoo wa babu na mababu zako acha upumbavuView attachment 3543316
Hataki kabisa kuwapumzisha hao wazee...Unakuta mababu zako walikuwa walevi, malaya na masikini halafu uko busy kuwaomba msaada.
ukiona mtu amevaa mabangili ya shaba au ya fedha au yenye mchanganyiko na shaba na fedha.
ukiona mtu amevaa mapete ya mvuto..
basi katika 10 nusu watakuwa na ushirikina ..mimi nilikuwa mshirikina nilikuwa natambikia mizimu kabla sijaokoka ..nayajua sana ..na nilinunua bangili la mzimu wa mdiimi..nikalipekeka kwa mganga wa kienyeji likafanywa dawa ndio nikalivaa..
japo kuna wengine wanavaa kwa kuiga kama fasheni hawajui maana yake..
ila huo ni mkataba(maagano) na falame za giza za kuzimu..mapepo.
NI KITU KIBAYA SANA..SHEATANI/JINI/MIZIMU siyo rafiki yako..lengo ni kukutimikisha ..UWE MTUMWA KWAO..na uiabudu na KUNA MASHARTI..
mwisho wake ni kukuingiza motoni kuzimu na kukutesa duniani..kama mimi mwisho wa siku ilitakiwa niwe mganga wa kienyeji..na Mchawi na mganga wa kienyeji ni kitu kimoja.
mganga anatumia MAJINI au mizimu ambayo nayo ni majini ..kufanya uganga na mchawi anatumia hayo hayo.
madhabahu anayotumia mganga wa kienyeji ndio madhabahu ya wachawi na miungu yao ni hiyo hiyo ndiyo madhabahu ya lucifer shetani..yani ni kama trafiki polisi na polisi wa kawaida wote ni kitu kimoja.
binadamu wote sisi ni sawa hakuna aliyezaliwa mchawi au mganga ..kinachofanya mtu awe mchawi mganga wa kienyeji ni haya MAJINI au MIZIMU au WALIMU sharifu majini...ukimuondolea mizmu na majini ..mchawi au mganga hawezi ..kama mimi nilitakiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa sababu nilikuwa na mizimu au majini kichwani..
na mganga wa kienyeji anapotaka kukuagua kukutibu anaita mizimu au majini yake anayapandisha kwanza.
na mchawi anapotaka kuloga anatumia hayo majini..kuna wacahwi wengine wanaloga bila ufahamu wao ina maana wao wanakuwa kama wamelala ila roho ya majini iliyomo ndani yao ndio inayologa.
unaweza kuona ni bangili tu la kawaida linakupa ulinzi au pete tu..ila ni agano na mapepo..ni kitu kibaya sana ..
mtegemee Mungu aliyekuumba muumbaji wa viumbe vyote usitegemee bangili pete na mizimu na majini...MUNGU ANATOSHA .
Mkuu madini yana maana nyingi na mwili wakoImani za kishirikina si ujanja ni uzumbukuku wa maarifa.
Walokole bn hahahaha daahMimi niliteseka sana na MIZIMU ya uganga ,nimezinguka sana kwa waganga wa kienyeji,nimevaa hayo mabangili ,mahirizi,maushanga ya begani,nimechanjanmachale ,nimekunywa madawa na kuoga madawa ,nimefukiza madawa,mengine unachapwa na fagio lililowekwa kwenye maji ya dawa..
chale mwili mzima..
lakini mwisho wake ni kuteseka tu..
hakuna amani ya kweli,zaidi ya hofu na mashaka ..
hakuna uponyaji wa kweli..
sadaka za makafara nilizotoa kwa waganga wa kienyeji ni nyingi sana na za gharama..na ilikuwa ni muendelezo leo kwa mganga huyu keshokutwa kwa mwingine...na mganga anakutisha unalogwa na huyu...mizimu hii mizimu ile..
mizimu inataka hiki..
mizimu inatak kile
mizimu imesema hivi...
LAKINI KWA YESU ...kuna raha,furaha ya kweli,amani,ujasiri,upole,upendo...
YANI HATA USINGIZI UNALALA kwa amani bila kuota mandoto ya kutisha...mara upo makaburini mara unakimbizwa .mara unalishwa ndotoni mara mtu amekukalia usiku ukiwa umelala...sleep paralysis hakuna tena.
HOFU ya uchawi majini nankukogwa hakuna..hofu ya masharti ya waganga hakuna..
YESU ANAWEZA YOTE..
mtegemee Mungu muumbaji wa vyote usitegemee Mizimu..wala mganga wa kienyeji
usitegemee KITU bangili au HIRIZI.
Mungu ndiye awe tumaini lako na tegemeo lako.
HIRIZI YA BANGILI AU PETE HAITAKUSAIDIA mwisho wako ni mbaya.SHETANI MAJINI NA MIZIMU SIYO RAFIKI ZAKO...ipo kwwa ajili ya kukufanya mtumwa kwayo.
Sahih 👌👍Mkuu madini yana maana nyingi na mwili wako
mimi huwa navaa bangili tatu za shaba safi
zinanisadia sana kiafya!
kwani mizimu ni nini mkuu? nipe elimu..Ndo inayokulinda wewe apo, chakufny onana na wakubwa zako sema vjn wa sasa hamna muda wa kuongea na babu zenu mko busy kubet tu shauri yenu
Kuvaa tu haina shida, shida inaanza unapoanza kuamini mizimu na imani za kishirikina.Mkuu madini yana maana nyingi na mwili wako
mimi huwa navaa bangili tatu za shaba safi
zinanisadia sana kiafya!
Inamaana kwamba mwamba una ushanga kiunoni au?Casio on my wrist inatosha🥶
hapana Mkuu,nazungumzia saa aina ya Casio ipo mkononi mwanguInamaana kwamba mwamba una ushanga kiunoni au?