Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

Story yako haieleweki mara ulikuwa unangaika kwa waganga mara ulikuwa unatumikia mizimu mara mizimu ilitaka uwe mganga, mkuu usihubiri habari za Mungu kwa kuingizia kuweka story za kutunga kama unafanya hivyo achana na hiyo tabia sio nzuri.
haya mabangili nimeyafahamu kipitia waganga wa kienyeji nilipokuwa naenda kabla ya kuokoka.

na huko ndiko nilipogundulika kuwa nina mizimu 6 mzimu mmoja anaitwa midimi au mdimu ndiye yeye huyo mzimu aliyekuwa anataka nimnunulie bangili nivae mkononi na nisilivue

linaitwa bangili za mzimu ,na moja ya kazi yake kwa mujibu wa mganga ni ulinzi wa mizimu kwangu.
lakini pamoja na hayo mizimu ilikuwa na masharti yake na ibada zake za matambiko...mwisho wa siku mizimu ikataka kunipeleka niwe mganga wa kienyeji...

mizimu ni kitu kibaya sana kinachotesa sana watu..

nanukishaanza kwenda kwa waganga utakuwa mteja wa kwenda kwa waganga mara kwa mara ,

YESU anaokoa anaponya bure..mizimu inatesa sana ..NI UTUMWA...ushirikina ni utumwa mbaya sana.
wanafahamu wanaosumbuliwa na mizimu watakuwa mashahidi hapa.
 
Tupilia mbali imani zako za kishirikina.
Sawa mkuu ila nyie wenzetu wenye imani kubwa kwa Mungu na msio washirikina ilitakiwa hata tusingekuwa tunapishana na nyinyi mahospitalini mngekuwa mnaomba uponyaji moja kwa moja kutoka kwa Mungu pasina kumshirikisha daktari na madawa.
 
Mkuu una uhakika na unachokieleza? Unazungumzia mizimu au majini tu ya kawaida?

Mkuu bado nasisitiza kwamba unaweza ukahubiri habari za Mungu pasina kutunga hizi story,
 
Karine hii bado kuna watu wanaamini MIZIMU?
 
Uko sahihi aslimia 100
 
Afu unakuta vitoto vya afu mbili vinabisha asee hahahaha

Ilikuaje
Zamani hiyo nilikuwa navaa napata hedhi isiyokata sema ilikuwa na bahati sana nikiitoa hedhi inakataa ni mbaya sana nasijavalishwa na mty yeyote
 
ID yako ni dhahili tosha wewe ni mlokolw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…