Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

Sherehe za kumbukizi ya kifo Cha Baba wa Taifa,ziwe zinahitimishwa kijijini kwake Mwitongo, ili kutoa fursa ya washiriki kufanya ibada na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi lake.Ni kweli Mwalimu Nyerere ni Baba wa Taifa,kwa hiyo maadhimisho yake kufanyika sehemu yoyote ya JMT Ni sawasawa.Lakini itapendeza zaidi ikiwa inafanyika kijijini kwake,kama inavyofanyika dua ya kumkumbuka Hayati Abeid Amani Karume,like kisiwandui Zanzibar.
Pili sherehe za kuzima Mwenge wa Uhuru,zitafutiwe siku yake, badala ya kufanyika siku moja na Nyerere day.
Tukio la leo,halijakaa vizuri na majirani zetu wanashindwa kuelewa yanayoendelea.
 
Leo ni tukio la uzimaji Mwenge, Kwa miaka mingi mwenge huwashwa na kuzimwa maeneo tofauti kwa kuzingatia ujumbe na kumbukizi ya matukio inayotayarishwa na serikali kuwakumbusha wananchi wake. Safari hii ni zamu ya Chato kama kumbukizi ya kifo cha JPM kama ilivyofanywa Butiama miaka ya nyuma baada ya kifo cha JKN.
 
Watakuita majina yote mabaya wanayobatiza watu siku hizi. Gaidi, msaliti, bepari, lkn ukweli utasimama. Kwa Karume huu ujinga hauwezi kufanyika.
 
Huu ni Utetezi wa Kipumbavu kutoka kwa Mpumbavu.
 
Mnamkosea sana heshima Madame President Samia S H!

Kwamba kabebwa tu out of her own will kwenda Chato?!

Tujifunze kuheshimu mamlaka hata kama hatuipendi!
Sasa kama hajielewi watu wasemaje
Mwenyewe anajiita hangaya
 
Kwamba yule mama na umri wake, familia ya baba wa Taifa na ndugu zake wanatumika bila ridhaa yao! You have underestimated them to the maximum, no matter how hard you might try to lasso it, you will never figure it out… The family knows exactly what they are doing man.
 
Tafadhali naomba ufungulie uzi.
Kufungua Uzi JamiiForums na ukakubalika ni Kipaji Mkuu na sidhani kama huyu Nut Achimwene wa Makete ana uwezo huo.

Kama kutaja ( kuandika ) vyema Jina la Esther hawezi ( ameshindwa ) na ameandika Easter unadhani Mtu huyu Kichwani ni mzima?

Halafu amejinasibu kuwa ameishi mno South Africa na anaijua vyema hadi maeneo na mitaa yote kuliko hata Rais Cyril Ramaphosa huku akiwa na Exposure cha Kushangaza hajui Kuandika jina la Esther na kaandika Easter.

Na ID yake imepigwa Ban hivi Juzi Mkuu.
 
Nasikia kuna Successor ambaye mwendazake alimteua mteua mapema tu toka Sukuma gang ndo inaendesha nchi kwasasa anampelekesha mama kinoma yeye ndo kafanya mama apewe uchifu Hangaya uko kanda ya ziwa
 
Nasikia kuna Successor ambaye mwendazake alimteua mteua mapema tu toka Sukuma gang ndo inaendesha nchi kwasasa anampelekesha mama kinoma yeye ndo kafanya mama apewe uchifu Hangaya uko kanda ya ziwa
Sasa Hangaya kile kichwa kina nini ndani mbona kama hakitumii kifikiria kabisa yaani yeye kila kitu anapangiwa?
 
Ndiyo kosa la kufa mtu kama Rais Mkapa , angeliona hili jambo mapema, imeima sana.
 
Kuna jamaa niponae huku kitwe,ameshangaa ,

Yaan mambo mengine ni upuuzi
 
Wamefanya ujinga sana wanadhani watu watawasifia. Yaani Nyerere day wanaenda kujazana Chato.
 
Shughuli za Mwenge zilipangwa kufanyika Chato sio Butiama. Wacheni nongwa.
 
Angefanyia Zanzibar ungewasikia humu wasukuma wangemuita mama sijui mkabila,Mara sijui mdini,

Leo wapo kimiya hawampondi kenge hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…