johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mama anaburzwa mno!
Mnyika alikuwepo?Mama anaburzwa mno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anaburzwa mno!
Mnyika alikuwepo?Mama anaburzwa mno!
Leo ni tukio la uzimaji Mwenge, Kwa miaka mingi mwenge huwashwa na kuzimwa maeneo tofauti kwa kuzingatia ujumbe na kumbukizi ya matukio inayotayarishwa na serikali kuwakumbusha wananchi wake. Safari hii ni zamu ya Chato kama kumbukizi ya kifo cha JPM kama ilivyofanywa Butiama miaka ya nyuma baada ya kifo cha JKN.Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya Kufa ( Kufariki ) Kwake.
Kama mnampenda mno Hayati Magufuli ( japo tunajuana baadhi yenu ni Wanafiki na mmeshukuru kutokuwepo Kwake ) mpaka kumuwekea Mashada kwanini tu basi msitenge Siku yake Maalum lakini siyo Kudandia na kuharibu maana halisi ya Siku ya Nyerere ya leo?
Najua mtakuja na sababu zenu na majibu yenu yenye Utetezi wa Kiitifaki ila GENTAMYCINE sitowaelewa na msipoteze muda wenu Kunifafanulia kwani kiukweli Mmenikera kufanya Tukio siyo katika Siku ya Mtu Muhimu zaidi kwa Taifa letu hili la Tanzania.
Halafu acheni Kutumia Uzee ( Ukongwe ) wa Mjane wake Mama Maria kwa Kumtumia katika Matukio yenu mengine yasiyo na maana ili tu Kutuonyesha kuwa hata Yeye na wana Familia wake Wanaridhika kwa Upuuzi na Unafiki wenu.
Mashada ya Maua kwa Siku ya leo 'Logically' yalipaswa yakawekwe sana pale Mwintongo Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na siyo Chato Mkoani Geita.
Upuuzi wenu huu wa leo umenikwaza!!!
Watakuita majina yote mabaya wanayobatiza watu siku hizi. Gaidi, msaliti, bepari, lkn ukweli utasimama. Kwa Karume huu ujinga hauwezi kufanyika.Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya Kufa ( Kufariki ) Kwake.
Kama mnampenda mno Hayati Magufuli ( japo tunajuana baadhi yenu ni Wanafiki na mmeshukuru kutokuwepo Kwake ) mpaka kumuwekea Mashada kwanini tu basi msitenge Siku yake Maalum lakini siyo Kudandia na kuharibu maana halisi ya Siku ya Nyerere ya leo?
Najua mtakuja na sababu zenu na majibu yenu yenye Utetezi wa Kiitifaki ila GENTAMYCINE sitowaelewa na msipoteze muda wenu Kunifafanulia kwani kiukweli Mmenikera kufanya Tukio siyo katika Siku ya Mtu Muhimu zaidi kwa Taifa letu hili la Tanzania.
Halafu acheni Kutumia Uzee ( Ukongwe ) wa Mjane wake Mama Maria kwa Kumtumia katika Matukio yenu mengine yasiyo na maana ili tu Kutuonyesha kuwa hata Yeye na wana Familia wake Wanaridhika kwa Upuuzi na Unafiki wenu.
Mashada ya Maua kwa Siku ya leo 'Logically' yalipaswa yakawekwe sana pale Mwintongo Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na siyo Chato Mkoani Geita.
Upuuzi wenu huu wa leo umenikwaza!!!
Damn Fool.Kawapa kula yao kuna ubaya gani.
Hakuna aliyepigania UHURU sema aliyepewa UHURU
Huu ni Utetezi wa Kipumbavu kutoka kwa Mpumbavu.Leo ni tukio la uzimaji Mwenge, Kwa miaka mingi mwenge huwashwa na kuzimwa maeneo tofauti kwa kuzingatia ujumbe na kumbukizi ya matukio inayotayarishwa na serikali kuwakumbusha wananchi wake. Safari hii ni zamu ya Chato kama kumbukizi ya kifo cha JPM kama ilivyofanywa Butiama miaka ya nyuma baada ya kifo cha JKN.
Sasa kama hajielewi watu wasemajeMnamkosea sana heshima Madame President Samia S H!
Kwamba kabebwa tu out of her own will kwenda Chato?!
Tujifunze kuheshimu mamlaka hata kama hatuipendi!
Kwamba yule mama na umri wake, familia ya baba wa Taifa na ndugu zake wanatumika bila ridhaa yao! You have underestimated them to the maximum, no matter how hard you might try to lasso it, you will never figure it out… The family knows exactly what they are doing man.Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya Kufa ( Kufariki ) Kwake.
Kama mnampenda mno Hayati Magufuli ( japo tunajuana baadhi yenu ni Wanafiki na mmeshukuru kutokuwepo Kwake ) mpaka kumuwekea Mashada kwanini tu basi msitenge Siku yake Maalum lakini siyo Kudandia na kuharibu maana halisi ya Siku ya Nyerere ya leo?
Najua mtakuja na sababu zenu na majibu yenu yenye Utetezi wa Kiitifaki ila GENTAMYCINE sitowaelewa na msipoteze muda wenu Kunifafanulia kwani kiukweli Mmenikera kufanya Tukio siyo katika Siku ya Mtu Muhimu zaidi kwa Taifa letu hili la Tanzania.
Halafu acheni Kutumia Uzee ( Ukongwe ) wa Mjane wake Mama Maria kwa Kumtumia katika Matukio yenu mengine yasiyo na maana ili tu Kutuonyesha kuwa hata Yeye na wana Familia wake Wanaridhika kwa Upuuzi na Unafiki wenu.
Mashada ya Maua kwa Siku ya leo 'Logically' yalipaswa yakawekwe sana pale Mwintongo Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na siyo Chato Mkoani Geita.
Upuuzi wenu huu wa leo umenikwaza!!!
Kufungua Uzi JamiiForums na ukakubalika ni Kipaji Mkuu na sidhani kama huyu Nut Achimwene wa Makete ana uwezo huo.Tafadhali naomba ufungulie uzi.
Sasa Hangaya kile kichwa kina nini ndani mbona kama hakitumii kifikiria kabisa yaani yeye kila kitu anapangiwa?Nasikia kuna Successor ambaye mwendazake alimteua mteua mapema tu toka Sukuma gang ndo inaendesha nchi kwasasa anampelekesha mama kinoma yeye ndo kafanya mama apewe uchifu Hangaya uko kanda ya ziwa
Hewala? 2025 mkichukua inzi mtabadili utaratubu za kipumbavu😂😂Huu ni Utetezi wa Kipumbavu kutoka kwa Mpumbavu.
Kuna jamaa niponae huku kitwe,ameshangaa ,Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya Kufa ( Kufariki ) Kwake.
Kama mnampenda mno Hayati Magufuli ( japo tunajuana baadhi yenu ni Wanafiki na mmeshukuru kutokuwepo Kwake ) mpaka kumuwekea Mashada kwanini tu basi msitenge Siku yake Maalum lakini siyo Kudandia na kuharibu maana halisi ya Siku ya Nyerere ya leo?
Najua mtakuja na sababu zenu na majibu yenu yenye Utetezi wa Kiitifaki ila GENTAMYCINE sitowaelewa na msipoteze muda wenu Kunifafanulia kwani kiukweli Mmenikera kufanya Tukio siyo katika Siku ya Mtu Muhimu zaidi kwa Taifa letu hili la Tanzania.
Halafu acheni Kutumia Uzee ( Ukongwe ) wa Mjane wake Mama Maria kwa Kumtumia katika Matukio yenu mengine yasiyo na maana ili tu Kutuonyesha kuwa hata Yeye na wana Familia wake Wanaridhika kwa Upuuzi na Unafiki wenu.
Mashada ya Maua kwa Siku ya leo 'Logically' yalipaswa yakawekwe sana pale Mwintongo Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na siyo Chato Mkoani Geita.
Upuuzi wenu huu wa leo umenikwaza!!!
Kiukweli hajafanya sawa kabisaMama anaburzwa mno!
Mwambie Watanzania wengi pia wenye Akili Kubwa na Nyingi tumeshangaa na Kumshangaa zaidi huyo Kiongozi Mlengwa.Kuna jamaa niponae huku kitwe,ameshangaa ,
Yaan mambo mengine ni upuuzi
Angefanyia Zanzibar ungewasikia humu wasukuma wangemuita mama sijui mkabila,Mara sijui mdini,Ndio wamekosea ila wamefanya kimkakati kupunguza nguvu za team mwendazake mana wamekuja wakisepa Rais ameendekeza sherehe leo hautoona thread za namna hii zikianzishwa sababu kwao ni jambo jema ila lingefanyika pwani au bagamoyo umeingia thread 20 zikimponda Rais
Lakini pia naona kama wahitaji kufanya ili kuzika kivuli cha Mwendazake ili kuhalalisha matukio kwa maeneo mengine
Just imbalance upepo wa kisiasa