Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Sisi wananchi wa Tanzania hatuna ugomvi na Wakenya na hatujawasema vibaya wakenya na majirani wengine kama Uganda, Burundi, nk. Aliyewasema vibaya mnamfahamu, tafadhali shughulikeni naye na sio sisi wananchi.

Sisi wananchi tunahitaji kufanya biashara zetu ndani ya nchi ya Kenya na nyie mnahitaji kufanya biashara ndani ya Tanzania. Tudumishe amani na undugu wetu wa asili. Samia anapita ila sisi tutakuwepo kwa kitambo kirefu zaidi. Amani kwenu!
 
Wakenya ni ndugu zetu kabisa katika kumshughulikia chura kiziwi. Wao wamempelekee moto TU tutawaunga mkono
 
mama samia pandisha kodi bidhaa za kenya kwa 50% washenzi hawa
 
Hahaha wewe na wakenya mmekutana wapi?

Unajitisha halafu unakimbia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom