Tafakari: Uvamizi wa shamba la Kenyatta na shambulio la Lissu

🎼 🎼 πŸ˜‚πŸŽΌ
Huna lelote lile umelegea tu huko ulipo.

the burden is on you. Prove it! una harahara

Koma kuniita mzee. Mzee ni yule aliye kuzaa.
Usipanic bwashee mambo haya hayataki hasira mzee kama hujaelewa concern ya mtoa mada subiri muda wa remedial.
 
Lumumba bado Kuna watu wanafikiria Tanzania tuitakayo, wewe ukiwa mmoja wao. Shida ni kwamba bendera fuata upepo niwe go mno na ndiyo ngao ya wenye nchi!!!
 
Mkuu nyomi hizi ni kubwa mno kujaribu kuuhalalisha kirahisi rahisi mgogoro kihivyo.

View attachment 2568407

Zingatia polisi walihusika Jana kupiga waandishi na kushadadia shamba la uhuru kuhujumiwa:
Ndugu Brazaj. Nilikwambia waandamanaji wakiadvance uelekeo wa maandamano Yao, ntaunga mkono maandamano Kenya.

Ingawa move hiyo imeanzisha Kwa hila under Tolu, bt wanakoelekea ni kuwa fungua macho wananchi wadai ardhi iliyo chini ya mabepari.

Wakitoka ktk mashamba ya freedom, waende Kwa mashamba ya Odii na waende Kwa mashamba ya tolu.

Tatizo la gharama za maisha litapungua ikiwa wananchi maskini watamiliki ardhi Kwa KILIMO na makazi.

Acha inyeshe, Tutaona panapovuja.
 
Jambo nililojifunza kwenye mada yako piani kuwa kuna visasi vimetokea kati ya hizo pande mbili

Pande ya kwanza kuna kitu kilifanya na pande ya pili kikaamua kujibu mapigo.
 
Mzee Shikamoo , Karibu tena Jukwaani
 

Shamba la Uhuru na investment za Raila zimehijumiwa kama walivyohujumuiwa waandishi Kwa maelekezo kutokea juu.

Usishangae polisi walikuwamo kwenye hujuma hizo.

Hujuma kama hizo zikichezwa sana awamu Ile na yule shujaa.
 
Odinga sio wa kupuuzwa kweli, anawaongoza waandamanaji kuvunja sheria, anatakiwa yeye pamoja na waandamanaji wapelekwe mahakamani kujibu mashtaka dhidi yao.
Utampelekaje mahakamani wakati Ruto mwenyewe anahitaji mazungumzo
 
Ruto ni jiwe mtupu, katiba ya huko angalau inamfunga breki.
Raila ni kivuruge tu....awali alidai maandamano ni sababu ya ugumu wa maisha kwa sasa ameyahusanisha na matokeo ya uchaguzi uliyopita ambao mahakama iliyabariki.

Maandamano kwa Sasa yamegeuka ghasia, uporaji, uharibifu wa mali na kitisho kwa shughuli za uchumi hili haliwezi kukubalika na werevu.

Mzee Odinga anatafuta 'new hand shake' apate mkate kidogo baada ya kushindwa kwenye sanduku la kura.

vijana wa Africa wanatumika vibaya na wanasiasa wakware wa madaraka na ukwasi.
brazaj econonist
 
Shamba la Uhuru na investment za Raila zimehijumiwa kama walivyohujumuiwa waandishi Kwa maelekezo kutokea juu.

Usishangae polisi walikuwamo kwenye hujuma hizo.

Hujuma kama hizo zikichezwa sana awamu Ile na yule shujaa.
The end justifies the means,

Wakimaliza kuhujumu Mali za Odii na Kenyatta, waende pia kwenye mashamba ya the late Moii, ndipo warejee Kwa Tolu.

Maandamano yakifanyika mashambani mwa mabepari, waliohodhi robo ya ardhi ya KILIMO,

Tatizo la mfumuko wa Bei litapata ufumbuzi.
 
Ruto ni jiwe mtupu, katiba ya huko angalau inamfunga breki.
Ruto ni jiwe. Odinga Yuko na watu. Ruto kama jiwe kaamuru.wasiojulikana kuhujumu mali za Uhuru, Odinga na kuwahujumu wana habari wanaoyapa maandamano coverage.

Cc: Proved, Rabbon
 

Waharibu mali na washambulia wanahabari hao ni wasiojulikana kama wa enzi za jiwe tu. Hao wameamriwa tu. Wako kazini. Hao ni state apparatus.
 
Mbona unaongelea scenario mbili ambazo ni incomparable? Yaani tukio la uvamizi wa tundulissu linaonekana ni wazi ni la kijasusi na kigaidi na wahusika wanaoneka walikuwa na connection au na mahusiano na viongozi wa serikali na ndio maana hadi leo kesi imezima na hakuna mtu kaguswa.

Sasa hilo tukio la shamba la Kenyatta ni wazi ni tukio la kijamii ambapo raia ambao wameishi katika maisha ya kimasikini na kukosa access ya kutumia ardhi wameamua kufanya uharibifu wa moja kwa moja kama njia ya kuonyesha machungu na kisasi kwa ukosefu wa haki katika umiliki wa mali na rasilimali hapo kenya.
 
Kenya Wapinzani hasa Raila ana nguvu sana ni mtu mwenye ushawishi Mkubwa Huwezi hata mara moja kumdharau ..Shida ya wale wahuni Wanamuona RAILA hana lolote ..Kitendo cha kuvamia kondoo na kuwapiga mateke hata wala hakijamuongezea lolote zaidi ni chuki inazidi kati ya Ruto na Kenyata.
 
Ninadhani tunawahi sana kuwasemea wengine. Huku ni kuifikiri nyomi hii yote ni ya wajinga:



Kwamba wenye akili ni sisi Nanjilinji huko.

Tujitendeeni haki wajameni.
 
Waharibu mali na washambulia wanahabari hao ni wasiojulikana kama was enzi za jiwe tu. Hao ni wameamriwa. Hao ni state apparatus.
Hamna tatizo, BAADAYE, watarudi tena kati.

Na baada ya hapo, hayupo tena Mwanasiasa atakayewadanganya wananchi Kwa interest zake.

Ukombozi wa Kweli utapatikana.

Mungu ibariki pembe ya Africa,

Mungu ibariki NYIKANI,

Itunze Kwa Ukombozi wa Dunia Kwa ajili ya watakatifu.

Ameen.
 
Makamishna 8 wa tume kuu ya uchaguzi hawakukataa bure kukubaliana na matokeo kuwa Rais Ruto alipita kihalali, kuna kitu kipo nyuma ya pazia na muda ni mwalimu sahihi wa majibu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sheria zingine za nchi bhana daaah! robo 3 ya nchi inamilikiwa na Raia mmoja tu na nchi yenyewe ina kilometers chache sana za miraba ya ardhi.

Africa, Africa, Africa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…