sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Kashindwa kuweka vioanishi kwa mpanglio rahisi kwa msomaji.Mkuu we nae ni bure una hoja lakini hujaileta vyema.
Pammoja na hilo Lissu hakuwa na nafasi kubwa za kisiasa au mali au umaharufu kama la Raisi Uhuru Kenyatta .
Shamba la Kenyatta limeteketezwa na kupora mali wakati Uhuru ameishastaafu uraisi,Lissu alimiminiwa risasi akiwa mbunge.