Tafakari Ya Mateso ya Lisu Kwa Siku Hii Ya Ijumaa Kuu.

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila anayetangazwa kuwa amechaguliwa kuwa kiongozi, awe amechaguliwa kweli, na ili watu wasiumizwe, wasiteswe wala kuuawa kwa sababu ya uchaguzi, ni jambo jema kwa kila Mtanzania, bila ya kujali ni wa chama gani au hata kama siyo mwanachama wa chama chochote.
Lakini kwa upande wa pili kuna Rais Samia na Serikali yake na chama chake, ambao wanafanya kila njia ili kusiwepo na haki wakati wa uchaguzi. Wanataka waendelee kudhulumu uchaguzi, wanataka waendelee kuwatesa wananchi, kuwatia vilema na hata kuwaua kupitia tendo la uchaguzi.

Tukio hili la sasa, ambalo ni mwendelezo wa tukio lile la kutaka kumwua Lisu, linatokea ili kudhihirisha uibilisi wa Samia na Serikali yake, dhidi ya kujitolea kwa Lisu, kukubali kutesekaa kwaajili ya haki ya walio wengi. Kukubali kuteseka kwaajili ya jambo jema kwa faida ya watu wetu wengi, ndiyo msingi wa Ijumaa Kuu. Ni upendo wa ajabu kwa wanadamu wenzako, kuwa tayari kuumia ili wao wapate amani, wapate haki, wasiumizwe tena.
Tujiulize, Wewe na mimi ni mara ngapi tumekubali kuteseka na kuumia kwaajili ya wanadamu wenzetu? Mungu atujalue kuwa na ujasiri wa kuyapokea magumu ili watu wengine wapone. Ni wakati wa kuamua, tunasimama na uibilisi wa Serikali dhidi ya Lisu anayeitafuta haki kwaajili ya wote au tunasimama na Lisu aliyekubali kuteseka kwaajili ya haki ya watanzania wote.

Mungu wetu ni muweza wa yote, angeweza kuukomboa Ulimwengu bila hata ya kifo cha mwanaye mpendwa Yesu Kristo, nafsi ya pili ya Mungu mwenyewe, juu ya msalaba. Lakini Kristo Mungu, (na Mungu ni Roho), alijivika mwili wa kibinadamu ili ayapate mateso kama mwanadamu, atufundishe wenye miili hii ya kibinadamu, tunastahili kufanya nini kwaajili ya watu wengine, kama tunataka kupata stahili ya ufalme wa Mungu. Yeye mwenyewe akasema, "ni upendo wa namna gani, hata mtu kuutoa uhai wake kwaajili ya rafiki zake!".

Katika siku hii iliyo Kuu katika ukombozi wa mwanadamu, tusikose kuomba kwaajili ya Lisu na wengine wote wanaoteseka na kupoteza maisha kwaajili ya kupambania haki na amani ya watu wengine bila ya kujali mateso na misukosuko wanayopitia, maana sadaka yao ni kubwa mbele ya Mungu wetu.
 
Mungu haangaiki na wajinga au wasioshika Sheria zake maana asema ......Mtu achungue mdomo wake ajiweka mbali na mitego itayoharibu maisha yake.

Lisu yeye anaponzwa na kinywa chake mwenyewe.
 
Hakika, waambieni na viongozi wenu Maaskofu, Mitume na Wachungaji wamuombe Lissu.
 
Mungu haangaiki na wajinga au wasioshika Sheria zake maana asema ......Mtu achungue mdomo wake ajiweka mbali na mitego itayoharibu maisha yake.

Lisu yeye anaponzwa na kinywa chake mwenyewe.

Hakuna lolote baya alilolinena Lisu. Lisu alikuwa anakemea uovu. Uovu haustahili kupambwa. Kuupamba uovu ni sawa na kumpamba shetani.
 
Maria anasema kukamatwa kwake kapaishwa kimataifa na kuongezewa umaarufu wewe unasema mateso hapo tuwaeleweje? Hamuwez kupewa dhaman ya kuongoza nchi hii kisa munajua Kutukana sana jueni hilo wananchi wanaakili na wanajitambua.
 
Lisu hajawahi kutukana mtu. Kumwambia mtu mwizi, kuwa wewe ni mwizi, siyo tysi, bali ndiyo ukweli wenyewe.

Ni kweli Lisu anazidi kupata umaarufu, kupitia anachokisimamia, na moyo wake wa upendo kwa Watanzania, hata kukubali kuumia kwa faida ya wengi.

Nelson Mandela RIP, mpaka anakufa, ndiye alikuwa mtu maarufu kuliko wanadamu wote waliokuwa wakiishi; hiyo ilikuwa ni kutokana na yeye kuyakubali mateso kwaajili ya haki ya walio wengi. Siku zote, kuyakubali mateso kwaajili ya watu wengine huleta umaarufu wa pekee kwa aliyejitoa, na aibu kubwa kwa wanaomtesa. Ni kanuni ya kawaida.
 
Uhaini hukumu yake ni..........
Hii itawafurahisha sana akina Luca.
Baadae wakishaitekeleza watajiuliza "Then what........"
Wataanza kutafutana wao kwa wao nani anampinga msemaji na yupi anaenda kinyume na makamu mwenyekiti. Baadae kabisa pafakuwa hapaeleweki.
Nchi yetu ni nchi ya amani wananchi wake wakishirikiana na vyombo vya dola wanadumisha amani siku zote no matter what.
We love our country
We love Tanzania
 
Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila anayetangazwa kuwa amechaguliwa kuwa kiongozi, awe amechaguliwa kweli, na ili watu wasiumizwe, wasiteswe wala kuuawa kwa sababu ya uchaguzi, ni jambo jema kwa kila Mtanzania, bila ya kujali ni wa chama gani au hata kama siyo mwanachama wa chama chochote.
Lakini kwa upande wa pili kuna Rais Samia na Serikali yake na chama chake, ambao wanafanya kila njia ili kusiwepo na haki wakati wa uchaguzi. Wanataka waendelee kudhulumu uchaguzi, wanataka waendelee kuwatesa wananchi, kuwatia vilema na hata kuwaua kupitia tendo la uchaguzi.

Tukio hili la sasa, ambalo ni mwendelezo wa tukio lile la kutaka kumwua Lisu, linatokea ili kudhihirisha uibilisi wa Samia na Serikali yake, dhidi ya kujitolea kwa Lisu, kukubali kutesekaa kwaajili ya haki ya walio wengi. Kukubali kuteseka kwaajili ya jambo jema kwa faida ya watu wetu wengi, ndiyo msingi wa Ijumaa Kuu. Ni upendo wa ajabu kwa wanadamu wenzako, kuwa tayari kuumia ili wao wapate amani, wapate haki, wasiumizwe tena.
Tujiulize, Wewe na mimi ni mara ngapi tumekubali kuteseka na kuumia kwaajili ya wanadamu wenzetu? Mungu atujalue kuwa na ujasiri wa kuyapokea magumu ili watu wengine wapone. Ni wakati wa kuamua, tunasimama na uibilisi wa Serikali dhidi ya Lisu anayeitafuta haki kwaajili ya wote au tunasimama na Lisu aliyekubali kuteseka kwaajili ya haki ya watanzania wote.

Mungu wetu ni muweza wa yote, angeweza kuukomboa Ulimwengu bila hata ya kifo cha mwanaye mpendwa Yesu Kristo, nafsi ya pili ya Mungu mwenyewe, juu ya msalaba. Lakini Kristo Mungu, (na Mungu ni Roho), alijivika mwili wa kibinadamu ili ayapate mateso kama mwanadamu, atufundishe wenye miili hii ya kibinadamu, tunastahili kufanya nini kwaajili ya watu wengine, kama tunataka kupata stahili ya ufalme wa Mungu. Yeye mwenyewe akasema, "ni upendo wa namna gani, hata mtu kuutoa uhai wake kwaajili ya rafiki zake!".

Katika siku hii iliyo Kuu katika ukombozi wa mwanadamu, tusikose kuomba kwaajili ya Lisu na wengine wote wanaoteseka na kupoteza maisha kwaajili ya kupambania haki na amani ya watu wengine bila ya kujali mateso na misukosuko wanayopitia, maana sadaka yao ni kubwa mbele ya Mungu wetu.
Tuombe ili atuongoze kufanya uhaini na uasi dhidi ya serikali yetu. Tukianza kupigana nani atakua mwenyeji wetu?
 
Mungu haangaiki na wajinga au wasioshika Sheria zake maana asema ......Mtu achungue mdomo wake ajiweka mbali na mitego itayoharibu maisha yake.

Lisu yeye anaponzwa na kinywa chake mwenyewe.
Hata waliomshtaki Yesu kwa mashtaka ya kutunga na uonevu walizungumza kama unavyozungumza wewe kwa kebehi.
 
Umenikumbusha mawazo hasi walionayo CCM kwa watanzania na Ndiyo maana tuliandaliwa kuto kuhoji japo tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia ambayo kuna vitu ukihoji utaambiwa kama umekua uondoke tabia ya hii ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha

CCM wanavichukia vyama vya upinzani Inamaana inawachukia wananchi, hivyo vyama wafuasi ni wananchi na viko kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, ndiyo maana tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi iliandaliwa hivyo ili iwe masikini

Tunaishi pia kwenye jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe mfano ukaiambia chadema wachangisha pesa Kwa njia ya tone tone ili wawaangamize wananchi wakshangilia halafu serikali kwa jambo hatari ikakaa kimyaa, (kulala usingizi mwanana)

Hitimisho huwezi kuhubiri amani na upendo kama haki hakuna, vile vile kuwezi kuhubiri tume huru wakati hiyo tume inatumia mifumo kandamizi ambayo haiwezeshi watu kumchagua unaye mtaka, (unayempenda)
 
Mungu haangaiki na wajinga au wasioshika Sheria zake maana asema ......Mtu achungue mdomo wake ajiweka mbali na mitego itayoharibu maisha yake.

Lisu yeye anaponzwa na kinywa chake mwenyewe.
Yohana mbatizaji, YESU KRISTO wa Nazareth nao pia walipewa mashitaka ya UONGO na kugushi Ila kwa uwezo wa YEYE AWEZAYE YOTEEE WALISHINDA.

""NO REFORMS, NO ELECTION" ndio uhaini"" Nimegundua CONSCIOUSNESS, AWARENESS YA MASAKI NI TOFAUTI NA CONSCIOUSNESS, AWARENESS YA MBAGALA,TANDALE,MANZESE, MBANDE, NITOFAUTI NA CONSCIOUSNESS, AWARENESS MWANADILATU,MWABAGALU,MPUMBWI, NANJILINJI E.T.C
 
Utabiri WA sheikh yakhya uko palepale Tu kwamba baada ya huyu mama upuinzani utashika hatamu, hapo ndipo taifa litatia adabu mafisadi watanyongwa kama kuku, viongozi wakubwa watakimbia nchi na kutokomea mafichoni. Kila Baya litalipwa na Baya amini kwamba.
 
Mungu haangaiki na wajinga au wasioshika Sheria zake maana asema ......Mtu achungue mdomo wake ajiweka mbali na mitego itayoharibu maisha yake.

Lisu yeye anaponzwa na kinywa chake mwenyewe.
Umesema kweli hata wezi wa kura Mungu haangaiki nao.watajijua wenyewe.
 
Hakuna lolote baya alilolinena Lisu. Lisu alikuwa anakemea uovu. Uovu haustahili kupambwa. Kuupamba uovu ni sawa na kumpamba shetani.
Huyo ni farisayo anakula mezani na wadhalimu.kwahiyo akiongea hivyoo ni haki yake .
 
Maria anasema kukamatwa kwake kapaishwa kimataifa na kuongezewa umaarufu wewe unasema mateso hapo tuwaeleweje? Hamuwez kupewa dhaman ya kuongoza nchi hii kisa munajua Kutukana sana jueni hilo wananchi wanaakili na wanajitambua.
Hebu taja tusi moja alilotukana.
 
Back
Top Bottom