Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida.
Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana.
Azam tv nao ni wahujumu wa soka letu kuna matukio ya maana ambayo ilitakiwa wayarudie, ila wakauchuna ili kuwalinda marefa.
Wanawafichia maovu, mchanganya picha naye bado sana.
Goal la kibu mbumbumbu walizulumiwa live bila chenga, yule refa bora akalime hata miwa tu kama hana kazi nyingine.