Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

Kama mzee wetu rage tu, kuwaita mbumbumbu aliona mbali sana
Hivi hujawazoea Tu watu wanalalamika Hadi maamuzi ya CAF eti Simba ndio walianzisha vurugu dhidi ya WaTunisia. Hawa shabiki ni kuwasamehe kuna kocha wao mzungu aliwahi Kuwaita 'manyani'😂😂
 
Hiyo si habari Mkuu, ligi yetu imevamiwa na kuendeshwa na wahuni, wanalazimisha ushindi kila mechi ili kombe lisiende uto ila derby itawastopisha na kupindua meza. Watatahayari na hiyo inaitwa mbio za sakafuni, kwasasa si ajabu mechi kuchezwa dkk 200 hadi kolo wapate goli ndo mpira uishe, inatia kichefuchefu kuangalia mechi zao.

Huwa naamini wasiofanya kazi ofisi zile ambazo kunyoa unakuwa makini, mtaani unajificha kuogopa media, kesi inaweza kukufuata hata ukiwa umestaafu basi basi wasio humo huwa maadili yao ni zero.

Ligi yetu kwasasa ni uhuni mtupu na aibu hawana maana Azam inaonesha magumashi yote laivu.

Yanga bingwa!
Kama inauma chomoa huo mwiko
 
Uliza shabiki yoyote WA UTO atakuambia Fujo walianzisha Simba SASA hapo kuna mwenye akili hata mmoja? Timu inayoongoza kuwa na shabiki wasio na elimu😄 hata macho hawana.
Mbumbumbu tulia
 
Back
Top Bottom