Nasikia muamala ulishasoma kwake mapema tu kwasababu kwa kipa makini awezi kutoka vile kama akuwa na uhakika wa kuudaka ule mpiraYupe Kipa Singida mrefu for nothing.....mzembe sanaa goal mbili kosa lile lile....
Muwe mnaangalia mpira vizuri bana sio kulalamika lalamika malalamiko fc , ile aliyotoa Hamza kulikuwa na offside kwa mchezaji wa singida angalia vzr utaona sio unalalamika tyuKwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida.
Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana.
Azam tv nao ni wahujumu wa soka letu kuna matukio ya maana ambayo ilitakiwa wayarudie, ila wakauchuna ili kuwalinda marefa.
Wanawafichia maovu, mchanganya picha naye bado sana.
Goal la kibu mbumbumbu walizulumiwa live bila chenga, yule refa bora akalime hata miwa tu kama hana kazi nyingine.
We kweli mbumbumbu na huwezi kuuficha umbumbumbu wako offside ipi ambayo mpira anakua nao beki alafu iwe offside?? Duu ya umbumbumbuni hayawezekaniMuwe mnaangalia mpira vizuri bana sio kulalamika lalamika malalamiko fc , ile aliyotoa Hamza kulikuwa na offside kwa mchezaji wa singida angalia vzr utaona sio unalalamika tyu
Ubaya ubwelaa
Hiyo si habari Mkuu, ligi yetu imevamiwa na kuendeshwa na wahuni, wanalazimisha ushindi kila mechi ili kombe lisiende uto ila derby itawastopisha na kupindua meza. Watatahayari na hiyo inaitwa mbio za sakafuni, kwasasa si ajabu mechi kuchezwa dkk 200 hadi kolo wapate goli ndo mpira uishe, inatia kichefuchefu kuangalia mechi zao.Mechi ya jana ni aibu kwenye soka
Kipengele kipi kilichokukera mbona kwenye goal la kibu nimesema hakutendewa hakiAisee, tumechoka malalamiko yenu. Kila nyuzi ni kulalamika tuuuu.
Ubaya Ubwela.
Mwanzoni mwa msimu huu nilitoa tahadhari.
Msimu huu Simba na Yanga ziamue kucheza mpira na kuachana na vita vya nje ya uwanja
Uzi umejaa malalamiko kuanzia kwako mleta mada hadi wachangiaji. Inatosha sasa.Kipengele kipi kilichokukera mbona kwenye goal la kibu nimesema hakutendewa haki
Kwahiyo kwakuwa ni wakurusha sio kosa??? Acha mapendo wewe angalia haki. Mbumbumbu lialiaUzi umejaa malalamiko kuanzia kwako mleta mada hadi wachangiaji. Inatosha sasa.
Kama nyie mnafumbia macho upendeleo unaofanywa kwa Yanga na hadi kuutetea, basi fungeni midomo yenu kama mnaona na wengine wanapendelewa.
Mnalalamika hadi maamuzi ya mpira wa kurushwa!!
Nafsi zenu zinawasuta kwa maana mmezoea kudhulumu wengine. Mnaona kila anachofanya Simba anapendelewa. Mpira wa kurushwa nao wa kuanzishia uzi?Kwahiyo kwakuwa ni wakurusha sio kosa??? Acha mapendo wewe angalia haki. Mbumbumbu lialia
Sawa wazee wa gusa anguka tupate penalti, na muda si mrefu ile milio yenu ya GSM anaharibu ligi itaanzaNafsi zenu zinawasuta kwa maana mmezoea kudhulumu wengine. Mnaona kila anachofanya Simba anapendelewa. Mpira wa kurushwa nao wa kuanzishia uzi?
Baada ya supu za vibudu wote mnaongea habari za milio kama maroboti vile. Jifunzeni kufikiri kwa akili zenu siyo mnaendeshwa tu kama misukule.Sawa wazee wa gusa anguka tupate penalti, na muda si mrefu ile milio yenu ya GSM anaharibu ligi itaanza
Hivi hujawazoea Tu watu wanalalamika Hadi maamuzi ya CAF eti Simba ndio walianzisha vurugu dhidi ya WaTunisia. Hawa shabiki ni kuwasamehe kuna kocha wao mzungu aliwahi Kuwaita 'manyani'😂😂Uzi umejaa malalamiko kuanzia kwako mleta mada hadi wachangiaji. Inatosha sasa.
Kama nyie mnafumbia macho upendeleo unaofanywa kwa Yanga na hadi kuutetea, basi fungeni midomo yenu kama mnaona na wengine wanapendelewa.
Mnalalamika hadi maamuzi ya mpira wa kurushwa!!