Hiyo si habari Mkuu, ligi yetu imevamiwa na kuendeshwa na wahuni, wanalazimisha ushindi kila mechi ili kombe lisiende uto ila derby itawastopisha na kupindua meza. Watatahayari na hiyo inaitwa mbio za sakafuni, kwasasa si ajabu mechi kuchezwa dkk 200 hadi kolo wapate goli ndo mpira uishe, inatia kichefuchefu kuangalia mechi zao.
Huwa naamini wasiofanya kazi ofisi zile ambazo kunyoa unakuwa makini, mtaani unajificha kuogopa media, kesi inaweza kukufuata hata ukiwa umestaafu basi basi wasio humo huwa maadili yao ni zero.
Ligi yetu kwasasa ni uhuni mtupu na aibu hawana maana Azam inaonesha magumashi yote laivu.
Yanga bingwa!