Tafakuri huru: Choma choma moto ya Ofisi za Vyama vya Siasa, siyo janja janja ya kutafuta kura za Huruma ya Wananchi?

Unajua chifu nini, haingii akilini mtu achome office halafu ategemee kupata kura, something bullshit, and poorly-thought tactic
 
Kwani polis wako wapi? Ccm endeleeni kugeuzwa maneno.Sikh zikianza kuchomwa za ccm mfululizo msilielie
 
Una masikio na akili kama ya Kenge!

Kwani umesahau toka enzi za Mwigulu Nchemba?
 
wewe ni mpumbavu kw kweli. kwani ukichoma ndio utakubalika . Chadema mnachoma wenywewe ili ccm ionekane wabaya. alafu mnatafuta siku lissu anakuja ndio mnachoma ili iwe story kubwa siku hiyo. kwann mnatoa baadhi ya vitu ndio mchome? Na kwanini siku zoote wasichome. alafu hizo nyumba sio za kwenu ndio maana hamna uchungu wakuzichoma
 
Mkuu, jamaa hawa akili zao wanazijua wenyewe. Hizi ni mbinu za kitoto kweli
 
Sawa mkuu, me naacha upuuzi. Ila, ukweli ndiyo huo
Ukweli gani Kama si dalili za upumbavu???
Hivi kwa akili yako tangu ofisi za chadema zianze kuchomwa Moto NI kwann wahusika hawakamatwi Kama kwenye matukio mengine?? Au NI kwamba unadharau uwezo was jeshi letu la Polisi??
 
It's a highly likely an orchestrated move PERIOD
 
Inatafakarisha sana kama mtu alianguka kwa ulevi akasingizia kavamiwa, matukio yanafanana kabisa. Makamanda wamejipanga kweli kweli
 
Chadema ni wapumbavu sana
 
Inatafakarisha sana kama mtu alianguka kwa ulevi akasingizia kavamiwa, matukio yanafanana kabisa. Makamanda wamejipanga kweli kweli
Yaani ni mambo ya kitoto kweli
 
Vivyo hivyo kwa ukatili wenu mlisema Lissu alijipiga risasi, eti kwanini hakufa!
 
Mkuu si ungemalizia kabisa na zile risasi alizopigwa Lissu zilikuwa maandalizi ya kura za huruma 2020?

Mwaka huu mtasema sana na bado tunasubiri hadi mtapoyaita 'mma'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…