Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Huwa sipendagi kujadili mada na wewe kwasababu nakufahamu kuwa huwezi kujibu hoja badala yake huwa una viroja vingi sana.Maana yake bila vyombo vya dola CCM hawana ujanja
Kama bila dola ccm haina ujanja sasa maana ya chama kushika dola ni ipi?
Mana tupo kwenye uchaguzi mkuu vyama vyote vinagombea kushinda uchaguzi vishike dola ina maana ikitokea CUF wakashinda na wenyewe watakuwa Chama dola?