Uchaguzi 2020 Tafakuri: Je, ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kumnadi Dkt. Magufuli?

Uchaguzi 2020 Tafakuri: Je, ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kumnadi Dkt. Magufuli?

Hivi ukiwauliza wananchii haya maswali machache watamjibu nini!?

kati ya ndege na ajira watachagua nini!?

Kati ya SGR na nyenzo za kilimo na masoko watachagua nini!?

Kati ya Umeme wa Stigler gorge na maji Safi unafikiri wananchi watachagua nini!?
Watumishi wa umma hawana nyongeza za mishahara kwa mda wa miaka 5 na wawaziri kuendelea kufanya kazi wakati bunge lilishavunjwa wizara kuwa chini ya makatibu wakuu
 
Watumishi wa umma hawana nyongeza za mishahara kwa mda wa miaka 5 na wawaziri kuendelea kufanya kazi wakati bunge lilishavunjwa wizara kuwa chini ya makatibu wakuu
Wamejibakizia vyeo kinyume cha sheria ili watumie kofia za uwaziri kuwarubuni/kuwahonga Wananchi miradi yetu(Iliyijengwa kwa kodi za Watanzania wote bila kujali itikadi zao.
Wanawabania Makatibu wakuu nafasi zao za kikatiba kwa njia ya kuipendelea CCM Mpya.Wanafanya kampeni wazi wazi bila aibu.
 
Umeona wapi wakimnadi? CCM wako buzy na shughuli zao kwanza hawakmbuki kama kuna uchaguzi.
Si kweli Yani katka kipindi ccm inatumia nguvu kubwa ni uchaguzi huu wakati tulitegemea hata kampeni wala kuandaa matamasha ya wasanii yasiwepo maana mgombea anajiuza
 
Mkuu acha ujinga, ujinga wenu,incompetency yenu,makaburi na ulafi wa madaraka uliopitiliza ndo unawafanya mtumie police,TISS,msajiri,tume na hata jwtz,Trump anauchaguzi tarehe 3 November,Je anatumia vyombo vya dola kukambiliana na Democrat? APM pale Malawi alitumia vyombo vya dola kukabiliana na MCP?

Hawezi kujibu hilo swali in the "affirmative."
 
Umeona wapi wakimnadi? CCM wako buzy na shughuli zao kwanza hawakmbuki kama kuna uchaguzi.

Jana askofu Magwesela wa AIC(T) Alisema, tuwapime Wabunge na Madiwani tu, rais yeye ametekeleza WAJIBU wake kwa 100%

Je, ni kweli 100%?
 
Kwani washaanza kumnadi mkuu? Acheni kupepesuka, hapo wanaelezea machache tu kutoka mengi aliyoyafanya! Subiri tume ipige kipyenga tuanze kampeni ya kitanda kwa kitanda, kama mtaambuli hata kura laki sita! Mwaka huu hadi Hashim Rungwe atawapiga bao. Viva Magu vivaaa, magufuli tano tena!
Kwani wananchi hawajui km kafanya makubwa?
 
Sababu walijiaminisha upinzani umekufa.
Mgombea wao hauziki abebeki asafishiki kwa mateso aliyowafanyia watz
 
Back
Top Bottom