Tafakuri: Kuna nini nyuma ya mashambulizi haya kwa Makamba?

Kiongozi usipowasikiliza wananchi wanataka nini hufai hata kuwatumia tena. Nenda kaendeshe kokoro lako huko.
 
Umeme kukatika mara KWA Mara ni factor ya yeye kushambuliwa na kuna impact ya Moja kwa Moja KWA wananchi tena za KILA SIKU!!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!
 
Wizara nzito hiyo haimfai Makamba mwepesi sana hapo wanatakiwa watu wakorofi wakorofi wizara inawapigaji Sana ,inawafaa type Kama Kalemani au zaidi ya Kalemani, REA tu imemshinda sembuse Mladi wa Rufiji.
 
Threat kwa mbio za kumrithi SSH 2030.
 
makamba ni mmoja kati ya mawaziri mizigo na zumbukuku...

ni aibu kumsifia waziri makamba huku kila baada ya nusu saa umeme unakata.. na kwa bahati nzuri hiyo hali hakuikuta, hivyo yeye ndio sababu

unasema anatuzidi maisha na elimu, yea uko sahihi...

hakuna mtanzania anayejadili utajili wake wala elimu yake, tunachotaka amalize kero za wizara yake.
 
Wanao mwandika vizuri, wanao mwandika vibaya wote ni wale wale, wanabadiri id, na wengine wanazo kwa kutumia majina tofauti tofauti. Nia yao ni moja, kumtangaza makamba. Japo mama akibadiri baraza la mawaziri alidai kuwa enguwa wanao taka kugombea urais 2025, hakuwauliza alio taka kuwa teua kama nao wana wazo sawa na anao waengua.
 
Mlishaanza kusahau katika kipindi kipi? Cha yule mliesema ni mshamba na dikteta?

Kuleni democrasia sasa.
 
Ile wizara siyo kwamba aliipatia!

Ila kilichotokea ni sababu ya mgongo wa Magu. Kama unabisha mwambie apewe hiyo wizara sasa hivi uone kama kuna kitu atafanya
 
Yani afanye hujuma Halafu tiss wanamuangalia tu ! Mkuu labda hujui gvt coordination inavyofanya kazi kila waziri na wizara kuna nyoka maalumu wanaoripoti kwà mama direct kila kitu sasa hiyo hujuma anaifanyia wapi?
Majukumu ya tiss yalibadirika toka enzi za magufuli, toka kuangalia usalama wa nchi na kuwa kitengo cha ulinzi wa rais. Hujuma kubwa za ufisadi wa mali ya umma siku hizi hakuna idara ya kuumulika.
 
Uhodari wa Waziri Makamba jr ni Poyoyo tu ndie atashindwa kuuona
 
Wewe kama ni kimada wake huwezi kuziona Dosari hizo,sababu mnalamba asali pamoja.

Pia wewe ni mpuuzi usiyeweza kuona kile ambacho watanzania wengine wanakiona.

Narudia kusema wewe na Makambajr5 ndio wapuuzi kwa sababu bila uteuzi maisha ya mtaani hamuyawezi.

Wenye akili wako mtaani na wapuuzi ndio wanalamba asali.

Time will Tell!
 
Kumbe mashemales mkitoka kufirimbwa ndo huwa mbakuwa hivi.....ptuuuuu!!!!
 
Wamemtoa Kalemani kwa majungu
Hilo mimi sijui, mi nimeuliza tu kuhusu ushahidi wa wizi wa makamba basi! Nimeshuhudia nawaziri weeeengi mno wakitoka na kuingia na hata sijasikia habari za aliyetoka kufanyiwa majungu.....ila kalemani kafanyiwa majungu. Aisee, kwakuwa sijui basi acha nijikalie kimya tu kuhgsu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…