Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Acha mawazo hayo ndugu.Ni kweli unaweza kuanguka mtegoni.Lakini,maadili ya kazi yapewe kipaumbele.Laa sivyo,wafwaaaa!Miaka "salasini" jela itakuhusu.Chagua.
Labda nikuulize swali kiongoz wew ndo upo kwenye kitengo cha kuzalisha mara paap mama yako mdogo, dada, au shangaz yako ndo ameletwa kujifungua utamfanyia huduma..?
 
Labda nikuulize swali kiongoz wew ndo upo kwenye kitengo cha kuzalisha mara paap mama yako mdogo, dada, au shangaz yako ndo ameletwa kujifungua utamfanyia huduma..?
Maadili na uhusiano vitanitetea.Umeeleza kuhusu kujifungua tu.Je,ikiwa anakaribia kufa na mimi ndiyo daktari natakiwa nimguse matiti ili apone itakuwaje?
 
Kwenye masuala ya afya k inajulikana kama kiungo cha uzazi na wala hatujui kama huwa inatiwa
 
Kwanza sio 'k' zote zinavutia! Nyingine ni mbaya! Zina sura mbaya! Zinanuka! Zimeoza magonjwa ya zinaa kiasi hukitoka hapo hata hamu ya kula huna. Ndo maana madakitari wote ni walevi/wanywaji ili kuzima data kudeal na hali hii
 
Hujajibu swali ikiwa mama au dada ako utamzalisha?
 
mbona huwazi yule jamaa anaepelekewa uchi na mkeo anaunyandua mpaka asubuh si anaugeuza geuza tena wakikutukana alafu unawaza madaktari ambao hawana time na mkeo
 
Wanawake wanaokufa wakati wanajifungua hospitalini,utakuta walikuwa wakihudumiwa na wakunga wakike,Fanya uchunguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…