Unaonesha ujinga uliosomeshwa umekujaa tele. Hata kuitazama video hujaitazama umeshapata majibu.Tatzo Hawa 'maprofesa' wa kidini...no one takes them seriously
Usianze kukisia, kama hauna mb, tatizo ni lako sio letu. Wacha kulialia kwa hisia zako za kijinga.Mb zimepanda.... Toa tu maelezo tutachangia... Ila kama mada video inahusu biashara ya utumwa kwa waabu na hyo video inatetea waarabu hawajafanya biashara ya utumwa.. Itakuwa wewe na huyo alioandaa documentary ni wajinga wote...
Usianze kukisia, kama hauna mb, tatizo ni lako sio letu. Wacha kulialia kwa hisia zako za kijinga.
Siwezi ku "summarize". Kama hauna mbinu za kupata free wifi na hauna bundle ni tatizo lako sio langu.Summarize hapa kwa maandishi, kwa mtu mwenye limited bundle siku hizi hafungui video wanaiba sana mb.
Ni watu wanaotumia free WiFi na unlimited bundle ndio ujishughurisha na video zote, binafsi sijafunguwa.
Kwaheri mama, mjadala mwema.ππSiwezi ku "summarize". Kama hauna mbinu za kupata free wifi na hauna bundle ni tatizo lako sio langu.
Niongezee nini langu zaidi ya "shule za kusomea ujinga"? Hujaliona hilo?Kama hoja yako ni kuunga mkono hoja yake bila kuongeza mawazo/mtazamo wako na wengineo kwenye mada husika... hii inapelekea kuamini inawezekana wewe Mwanahamisi dada mkuu wa shule yetu pendwa
Hahahaaaa mbona kweli Kama wajinga wote vileMb zimepanda.... Toa tu maelezo tutachangia... Ila kama mada video inahusu biashara ya utumwa kwa waabu na hyo video inatetea waarabu hawajafanya biashara ya utumwa.. Itakuwa wewe na huyo alioandaa documentary ni wajinga wote...