Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Huu Uzi umeletwa kwa jazba jazba fulani hivi. Na mapovu mengi.
Usitumie nguvu nyingi Sana kutetea uovu wa wengine, tetea nafsi yako kwanza.
Umeitazama video na kinachozungumzwa hapo au umekuja kuzijadili "jazba"?

Naona kama unatumia nguvu nyingi kujadili lisilokuwepo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Tupe story yake, usifikiri kila mtu anakielewa ulichojazwa nacho wewe ujinga na ndiyo maana nimeweka video hapa ili tusiendelee kujaana ujinga.

Historia yote uliyosomeshwa shule ni uongo mtupu, juu chini, chini juu. Hivi upewe elimu na Mwingereza, mzungu, halafu yeye ajiponde? Fikiri japo kiduchu.
Mwingereza huyo huyo aliesema alimtuma Karl Peters kuja kueneza propanda za udini kwa niaba yake amzushie TippuTip.

Haya mzungu muongo nani aliemwekea TippuTip sanamu kama mfanyabiashara maarufu wa utumwa Zanzibar.
 
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.

Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.

Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...

Nyinyi ndo wale masexy grannies. Ni wakuwaibukia tu.
 
Kufungua documentary while kifurushi kimepanda na mb nyingine wanaiba huko huko pia ni ujinga.

Hao maprofesa wako wasiojua tofauti ya L na R nao ni wajinga.

Unavyo disqualify dini za wengine nao ni ujinga

Na hapa utanijibu mbovu nao ni ujinga.
Mbona unajitetea sana lakini mada iliyopo hujaijadili.

Kama mumeo kashindwa kukupa hata kifurushi ujifaraguwe kwa raha zako, tatizo liwe langu? Au huna mume?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.

Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.

Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...

Biashara ya Utumwa na Waarabu ni kama 'uji na mgonjwa'..
Waliasisi hii biashara zamani sana na wanaiendesha hadi leo hii..

do! natamani kuchangia na kwa umakini sana lakini bandle kwangu tatizo labda kwa muda mwingine.
lakini naweza kusema kwa kifupi tu ili wakoloni watutawale walihakikisha wametugawa na kutengeneza makundi yasiyoelewana na kibaya zaidi tumeshindwa kabisa kutoka huko na mpaka kesho tumebaki kuwanyenyekea na kuwaamini hawa wakoloni na wao wameendelea kuwadhurumu; wakristo huwaelezi kitu kuhusu mzungu na ndivyo waislamu huwaelezi kitu kuhusu mwarabu lakini wote hawa wametupa tabu na kutawala huku wakituaminisha na kutaka jamii yetu iishi kama wao.
sijui tutafanyaje lakini hali kwenye elimu ni mbaya sana na kadri siku zinavyokwenda sehemu kubwa ya jamii inaandaliwa kuwa wajinga na wachache wanaandaliwa kuwa na maarifa ili wao na familia zao waendelee kutawala.
mitaala (sina uhakika na hilo neno lakini elewa tafsiri yake) inabadilikika kila kukicha na watoto wameaminishwa kwenye kula mikate kuliko kutengeneza mikate kwa kutegemea ajira zenye kujibu maswali ya leo tu na ndio maana watawala wakisimama wanazungumzia bodaboda na vikundi vya mikopo ya milioni tano mpaka kumi.
vijana wameaminishwa kwenye muziki na starehe inalipa kiasi kwamba jamii hii haitongozani tena ni swala la shilingi ngapi na saa ngapi kwa hiyo hata msisimko wa upendo haupo na hakuna wakuandika mashairi ya kweli.
tumekuwa watu wa kujibu maswali magumu kwa hoja nyepesi na tunaona sawa tu.
kama waafrika tunahitaji kufanya kitu kinachotufaa tutafute tunavyofanana tuvifanye kwa ufanisi vinginevyo hatutoboi kwa kuwa tutatengenezewa malalamiko kila siku ambayo kiuhalisia anayelalamika ni kwamba ameshindwa na anahitaji msaada lakini anayetoa msaada amejipanga kulipwa ujira wake na huenda katika njia ambayo wewe huwezi jua kirahisi.
 
Yani Hawa waislam wako radhi hata kubadilisha Historia ili kutetea vipenzi wao Waarabu
Umeitazama video clip? Au unapayuka hata huelewi kilichoongelewa na kuoneshwa? Kama umeitazama, sasa tueleze nani aliyeibadilisha historia tena kwa picha na ushahidi wa wazi kabisa.

Kama hujaitazama video na unaleta porojo zako tu basi elewa kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Tunawafahamu wa sampuli zako.
 
Wewe achana na uhovyo wangu, upo hapa kunijadili mimi au mada niliyoileta?
196640C6-2D08-4565-8549-3B30E14621AE.jpeg

Kwanini Zanzibar wana makumbusho hayo, nani muhusika wa kwenda kuwabeba hao watu kutoka bara hadi Zanzibar.

Hakuna jina la mwarabu hapo wa kutoka Oman bali mwafrika TippuTip.
 
Kuna video inatrend twitter mwarabu anamnyea dada wa kiafrika mdomoni
Wewe una uhakika gani kuwa huyo ni Mwarabu na huyo ni Mwafrika, ndiyo mliozowea kjazwa ujinga kila mnalooneshwa kwenye mtandao mnaamua kuwa ni la kweli Si kila unaloliona kwenye mtandao ni la kweli.

Teknolojia inavyotumika vibaya siku hizi kwa kujazana ujinga, hata wewe unaweza kuwekwa unakula mavi.

Kwani umesahau Lema aliwekwa kwenye mitandao anafanywa nini? Ilikuwa ukweli ule?
 
😅😂😂 Kwa hiyo unatetea uovu wa waarabu kwa mwavuli wa dini?
 
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.

Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.

Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...

Naam! Michoro ya picha inaweza kufikirika kuwa ina ukakasi na sehemu ya propaganda chafu katika kufikisha ujumbe wa wahusika wa biashara ya utumwa. Lakini vipi kuhusu picha halisi zilizopigwa wakati huo huku zikionyesha kwa uwazi kabisa uwepo wa mabwana wa Kiarabu na watumwa wa Kiafrika!?

Michoro ya picha inatoa ujumbe tu wa jumla kuhusu biashara ya utumwa. Lakini iliambatana na matendo ya kidhalimu ya hali ya juu, kiasi kwamba biashara hii ikapigwa marufuku duniani kote.

History is not only the path left by the past, but also footpath paints for the future.

Hakuna ubishi wowote kuwa hii ni biashara chafu ambayo iliyowahusisha moja kwa moja na kuwanufaisha mawakala wa Kiarabu. Kuokoteza sababu za utetezi dhidi yake ni kama kutaka kutwanga maji kwenye kinu.
JamiiForums-1073239231.jpg
 
Back
Top Bottom