Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brainwashing ni kitu mbaya sana. Inatia upofu na hofu. Watu wamejawa hofu ya kitu na hata kuchambua hawawezi. Hii historia imepotoshwa kwa malengo maalum. Nawaomba wachangiaji wasikilize ndipo watoe mitizamo yaoUnaonesha ujinga uliosomeshwa umekujaa tele. Hata kuitazama video hujaitazama umeshapata majibu.
Hakuna Profesa wa "kidini" hapo, sema kweli tu, ujinga uliojazwa unashindwa kutumia neno Wakiislam, ndiyo hayo hayo yanayoongelewa kwenye hiyo video.
Kwanza itazame video na uisikilize vizuri kisha uje kuuliza maswali yako. Swali lako liko nje kabisa ya mada.Kwahiyo Faiza huamini kuwa waarabu walifanya biashara katili ya utumwa kwa mababu zako huku wakikuhubiria uislam au udini na ujinga ndo vimekujaa?
Kila...Yaani nipoteze muda wangu kumsikiliza Mohamed Said huyu huyu aliedai Ali Aziz wametokea Mlandizi wakati hao watu nawajua vizuri ni watu wa Tanga mpaka nimrekebishe ni watu wa Tanga; ata hakina Sykes nawajua vizuri Ilala through inter marriage.
Huyo ni wa kukupa historia wewe, sio mimi. Biti Aziz marehemu ilala nenda kamuulize mtoto wake mama Duly Sykes akwambie uhusiano wa Kingui ns hayo maeneo.
Na hata huko Kariakoo nakusoma tu, tuulizie vizuri Kingui ni hakina na historia ya Kariakoo. Wenyewe watakwambia kama bado wapo.
Waswahili pyua kushinda wewe bibi wa kiarabu.
Asubuhi njema 👋👋👋 you are just a pathetic old lady unaejifanya mjuaji.
Aah kumbe kanisa lilihusika na biashara ya Utumwa. vipi Uingereza nayo aliiwakilisha?![]()
POPE APOLOGIZES TO AFRICANS FOR SLAVERY (Published 1985)
www.nytimes.com
Soma hiyo hapo uone wanavyoomba msamaha. Muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Usitake nilianze nikuharibie sikuMbona unajitetea sana lakini mada iliyopo hujaijadili.
Kama mumemo kashindwa kukupa hata kifurushi ujifaraguwe kwa raha zako, tatizo liwe langu? Au huna mume?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mada umeiona? Umeisikiliza, unasemaje kuhusu mada?Marehemu Ali Aziz alikuwa na mtoto anaitwa Aziz Ali Aziz ebu nitajie jina la mkewe.
Bibi yake Dully Sykes anauhusiano gani Aziz Ali.
Hayo ya kutoka Mlandizi mimi ndio niliekurekebisha.
Nilifuta baadhi ya post zangu kwa makusudi sikutaka haya malumbano yasiyo na tija. Ila ni hivi ukiingia leo makaburi ya Kisutu yetu ndio yanayozunguka kaburi la Sheriff kufukuliwa pale mpaka tuishe.
Ongea mambo mengine sio Kariakoo, Gerezani na Ilala; ata msingi wa jina la mtoni kwa Ali Aziz ni sisi na sio Ali Aziz unaemdhania wewe.
Post itafutwa.
Unaelewa tofauti ya kanisa na white Christians?Aah kumbe kanisa lilihusika na biashara ya Utumwa. vipi Uingereza nayo aliiwakilisha?
Huyo niliempa ujumbe somo amelipata inatosha.Mada umeiona? Umeisikiliza, unasemaje kuhusu mada?
Hapo unaposema "Aziz ni sisi" unamaanisha nini?
Wacha upoyoyo wewe, kanisa katoliki lina uhusiano upi na Walutheri na Waanglikana na Protestants wa USA?Unaelewa tofauti ya kanisa na white Christians?
Amewawakilisha hadi waoman.
Kilatha,Marehemu Ali Aziz alikuwa na mtoto anaitwa Aziz Ali Aziz ebu nitajie jina la mkewe.
Bibi yake Dully Sykes anauhusiano gani Aziz Ali.
Hayo ya kutoka Mlandizi mimi ndio niliekurekebisha.
Nilifuta baadhi ya post zangu kwa makusudi sikutaka haya malumbano yasiyo na tija. Ila ni hivi ukiingia leo makaburi ya Kisutu yetu ndio yanayozunguka kaburi la Sheriff kufukuliwa pale mpaka tuishe.
Ongea mambo mengine sio Kariakoo, Gerezani na Ilala; ata msingi wa jina la mtoni kwa Ali Aziz ni sisi na sio Ali Aziz unaemdhania wewe.
Post itafutwa.
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.
Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...