Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, wakati nasoma mimi shule zilikuwa hazijataifishwa, tulikuwa sote tukilipa ada.Kusomea ujinga nao ulilipiwa ada,vipi babaako aliwahi kuwa mjinga kusomesha au kulipia ada hata wajinga wawili tu nje ya ukoo wake,?Je vipi kuhusu ww ushawai kugharimia fees japo ordinary level kwa wajanja watatu tu nje ya mfumo wa dini yako?
Kumjibu mjinga hudhuhirisha ujinga uliopo ndani ya mjinga.
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.
Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...
Umejibu kijinga kweli,umeelezea ujinga wako kabla ya kujibu swali la msingi.Naam, wakati nasoma mimi shule zilikuwa hazijataifishwa, tulikuwa sote tukilipa ada.
Hata hivi sasa unafikiri shule zote Tanzania hii ni za bure?
Wa shule za kusomea ujinga mnajulikana tu. Upeo unakuwa finyu sana,
Haya mambo yanapandikizwa makusudi ili yalete chuki kwenye jamii. Cha kutafakari ni nani anaeyafanya?
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.
Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.
Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...
Hiki kibibi kifisadi ni cha ovyo kwelikweli.Hiki kikongwe nacho wewe ndio umejaa ujinga
Muda wa kutizama hiyo video ningemaliza baadhi ya bugs kwenye project yangu
Ebu tuambie huyo TippuTip ni mtu wa kutunga kwenye historia, tuibadilishe?Sio Muislam? Kuwa mkweli tu, wacha kujaza watu ujinga.
Sasa hivi kuna vita kubwa huko Ukraine, nao ni Waarabu pia, au sio?
Tupe story yake, usifikiri kila mtu anakielewa ulichojazwa nacho wewe ujinga na ndiyo maana nimeweka video hapa ili tusiendelee kujazana ujinga.View attachment 2212027
Hiki kibibi kingine cha kiarabu FaizaFoxy kithenge kweli.
Hivi unadhani huyu TippuTip ni story ya kutunga wakati mpaka kawekewa statute Zanzibar kama slave trader.