Unaonesha hujaitazama video wala hujaielewa maudhui iliyopo. Usiwe mvivu wa kuhipatia elimu, ukishaipata halafu amua uichukuwe au ukatae, sio kabla.
Hiyo video nimeitazama mwanzo mwisho.
Msimamo wa huyo Profesa na huyo mwandishi anayemhoji ni mmoja na unamaudhui ya kupinga kuwa Ati waarabu hawakuhusika kusafirisha Watumwa kutoka bara kwenda Pwani.
Alafu kuna wakati wanajichanganya tena Kwa kusema Kama walifanya basi ni kidogo😄😄😄
Sasa watupe hoja zao Waarabu waliopo Tabora, Kilosa Hilo Morogoro, kigoma na vizalia vyao walitokana na nini.
Maana miaka hiyo Maeneo hayo yalikuwa sio Mimi labda huko ujiji Kigoma.
Kusema Waarabu walihusika kwenye biashara za kuuza Watumwa wakiwanunua Kwa Waswahili huko barani kisha kuwasafirisha haimaanishi tuna chuki nao bali ndio Biashara kubwa ya kipindi Hilo
Mwambie huyo Profesa akasome tena kisa cha Waishimael waliokuwa wakinunua Watumwa wakiwauza Maeneo mbalimbali ikiwemo Misri, mhanga wa Jambo Hilo hata wewe unamjua anaitwa Yusuph, si unamjua?
Unawatetea Waarabu Kwa kisingizio cha udini🤣🤣 Bibi Acha hizo bhana.
Mbona Wakristo hawawatetei Wazungu kwenye mabaya Yao ya ukoloni na mambo mwingine?
Wewe ndio umesomea ujinga Kwa kuukataa ukweli.
Huyo Profesa anasema ati HAO Watumwa waende Uarabuni kufanya nini?😄 Ameacha kujadili Kama msomi na mtaalamu anajadili kishabiki Kama wahuni wa vijiweni.
Yeye anachojua kuwa Watumwa kazi zao ni ngumu tuu, za kwenda shambani na migodini au viwandani🤣🤣
Hajaelezea maelfu Kwa maelfu ya Watumwa waliokuwa wanaenda huko uarabuni kugeuzwa Watumwa wa kazi za ndani na kuhasiwa, huitwa matowashi,😄😄
Hii mpaka Leo wapo maelfu Kwa maelfu ya wanawake na mabinti hupelekwa huko uarabuni na kuna AGENCY mamia Kwa kazi hizo.
Lakini hakuna mambo Kama hayo barani Ulaya.🤣🤣
Anazungumzia Nchi za Carribbean, sijui Brazil, Mexico na Agentina kuwa na wingi wa Waafrika akiichukulia Kama utetezi wa hoja yake kuhusu biashara za UTUMWA zilifanywa zaidi na Wazungu.
Kwenye biashara anashindwa kuelewa kuwa kuna muuzaji na mnunuaji😄😄
Wauzaji wa Watumwa walikuwa ni Waarabu na kidogo Waswahili, wanunuzi walikuwa Wazungu Kwa jamii zao.
Sasa utasema Kati ya muuzaji na mnunuzi Nani anafanya biashara.
Hivi wewe ukienda Kwa Mmasak au Mgogo kununua NG'OMBE, Kati ya wewe na muuzaji Nani anafanya biashara ya NG'OMBE?😄😄
Profesa wako mwambie aache kujadili mambo Kihuni badala Yale ajadili kitaalamu.
Yeye kaamua kuchambua kimrengo wa Kusini, tangu wanaanza kusalimiana tayari ilishaonekana wangejadili kitu gani.
Mjadala Kama huo wangetafuta mtaalamu mwingine hapo hapo ili a- criticise sio watu wajadili katika mrengo mmoja alafu wewe unahitimisha kama mjinga.