Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni


Endelea kukaririshwa tu ewe mfuasi wa paulo. Hapo najua umeshaisikiliza hadi mwisho na kuielewa, ila unataka kuanzisha ligi,,,umeshaona ukweli kuwa waarabu walikuja Afrika kibiashara na sio kwa nia mbaya kama wazungu na baadhi ya waafrika.
 
Kasome histori ya Dunia wewe Acha kubebwa kirahisi.
Hata kibiblia HAO waarabu walifanya hiyo biashara ushahidi upo
Ha

Ushahidi gani huo,,au ndio unataka kutuletea mliyokaririshwa na kanisa?😁 bado mko usingizini, wazungu waliwateka akili 😁 nanyi mkatekeka kirahisi bila kufanya research.
 
Ushahidi gani huo,,au ndio unataka kutuletea mliyokaririshwa na kanisa?😁 bado mko usingizini, wazungu waliwateka akili 😁 nanyi mkatekeka kirahisi bila kufanya research.

Unaumwa kweli!
So hivyo HAO waliposema hayo Kwa video wamenifunzia misikitini au walifundishwa na masheikhe?

Tofautisha elimu ya kidini na elimu ya kidunia.
 
Usituhusishe na magaidi we bibi,.. Kawaida ya wajinga huwaona wenzao ndio wajinga,.. Waarabu ni wahuni tu, tuache.
 

Ndio maana na wewe unamtete kipenzi chako mzungu kwa kuwa ni mkiristoo?
Wapi nimemtetea mzungu? Ushaskia nasema mzungu hajahusika kwenye biashara ya utumwa?
 
Wapi nimemtetea mzungu? Ushaskia nasema mzungu hajahusika kwenye biashara ya utumwa?
Umeitazama video clip? Video clip haiongelei nani kafanya biashara ya utumwa na nani hajafanya. Simply inaonesha watu kusomeshwa ujinga kwa makusudi kabisa. Nakushauri kaitazame video clip kabla hujaleta porojo zako binafsi.
 
Waislam kwanini tunatumia nguvu nyingi kutetea waarabu, iwe waarabu walifanya huku kwetu hiyo biashara ama hawakufanya, haimaanishi waarabu hawajafanya biashara ya utumwa, UARABU sio UISLAM, sio kila mwarabu ni mtu safi, mtume Muhammad s.a.w alipelekwa kwa waarabu sababu waarabu walikuwa wamekithiri kwa ushenzi, wapo waliomkubali wakaacha ushenzi na wapo walioendelea na ushenzi wao, walimkata mjumbe wa Mwenyezi Mungu, sasa isiwe kila muarabu akaonekana ni mtu saint saana, ni washenzi ndio maana mitume kadhaa ilishushwa huko kwao, BILALI(r.a) alikuwa ni mtumwa.

Dini tusizifate kwa mihemko. Utumwa ulikuwepo duniani koote, si ulaya, si uarabuni hadi uchina huko.
 
Kwa uandishi wako humu jamvini wewe kikongwe unaona una-suffer depression, una stress sana wew mfia dini ya mfu mudi
"depression" yangu mimi wewe unae "suffer".Majanga hayo.

Huyo "mudi" wako mimi simfahamu, mimi nafata dini ya Mitume wote na Yesu akiwemo, Uislam.

Sasa rudi kwenye mada, umeitazama video iliyopo post namba 1? Maana hiyo ndiyo iliyobeba mada, au mada hapa kwa ufinyu wako unadhani ni mimi?
 
Wacha uongo. Hakuna mahala profesa kainga kuwa biashara ya utumwa haikufanyika. Maudhui ni mapicha tu. Umeyaona hayo mapicha yaliyobeba maudhui? Aliyachora Profesa yale?


Utaupingaje Utumwa wakati hata kwenye Biblia upo? Na ardhi yetu hii imetajwa katika maandiko hata kabla ya Biblia na dola lililotaja kwenye maandiko yake kuwa lilifanya biashara na ukanda huu miaka elfu 20 iliyopita. Ushahidi upo wazi kabisa kwenye "hieroglyphics" za mafarao.

Katazame tena maudhui, umekuja na porojo ndefu iliyo nje kabisa ya mada. Usitake kujaza watu ujinga uliojazwa nao wewe.
 
Umeitazama video clip? Video clip haiongelei nani kafanya biashara ya utumwa na nani hajafanya. Simply inaonesha watu kusomeshwa ujinga kwa makusudi kabisa. Nakushauri kaitazame video clip kabla hujaleta porojo zako binafsi.
Ujinga Gani Huo wanasomeshwa?
 
Hawa wanazuoni wako na vitabu vyao nimeanza kuwafuatilia zaidi ya miaka saba iliyopita. Kama wewe ndiyo umeanza kuwasikia sasa endelea kujifunza ujinga wao.
Hiimada si mara moja binafsi kuiibua humu JF, miaka kadhaa iliyopita niliibua kwenye uzi wa maandiko tu. Leo nimeileta video.

Umeitazama video? Ni nini ulichokiona humo? Au wewe ni katika waliojazwa ujinga na unataka kuundeleza huo ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…