Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Kwani hayo mapicha anayoyapinga huyo Profesa yanaelezea nini mama sio hiki nilichokisema.
Hapo ishu kubwa ni UTUMWA hizo picha zinaelezea wahusika wa UTUMWA
Hahahahahah, unaniuliza mimi? Hujayaona? Sema ukwli ulichokiona huko au kama hujatazama pia sema ukweli. Usijijaze ujinga kwa kuwa tu ulisomeshwa ujinga.

Sasa tazama na hii lugha ya mapicha ya miaka 20,000 nyuma inasema nini: https://unesdoc.unesco.org/ark:/48223/pf0000042665
 
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.

Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.

Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...

Prof.uchwara amejaa porojo kama mudi wa saigon.
 
Punguani wewe mwenye mzigo wa CHUKI moyoni mwako.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mwenye chuki wewe, hata video yenye mada hujaitazama umekuja kupayuka hovyo.

Nimekuletea elimu ya bure kutoka kwa profesa lakini kwa chuki zako za kujazwa ujinga unaogopa hata kuitazama. Unaancha mada unanishambulia mimi, nimekukosa nini? Au nondo za profesa zimekuingia barabara?

Ujinga huo.
 
Una vinasaba na waarabu mbona wakisemwa kidogo lazima uanzishe thread kuwatetea,ebu jaribu kuficha mahaba yako kwa waarabu bibie
 
Una vinasaba na waarabu mbona wakisemwa kidogo lazima uanzishe thread kuwatetea,ebu jaribu kuficha mahaba yako kwa waarabu bibie
Sasa hapa nimetetea nini?

Sio vinasaba tu, kumbuka mimi ni Muislam. Msitake kucheza na maneno, tunfahamu mkisema "Mwarabu" mnamaanisha Muislam, na mkisema Mswahili hali kadhalika, wakuja mna ujinga wa asili.

Nnaamini kuwa watu kama wewe mna ujinga wa asili, wa vinasaba, mkaongezewa na ule mliojazwa nao, matokeo ni ujinga double.
 
Ninyi wafuasi wa marehemu ndo mna ujinga sana ndani yenu.

Kama mtume wenu marehemu mudi alikuwa mjinga hajui kusoma wala kuandika na akaanzisha imani ya kijinga ikapata wafuasi, tuwape jina gani wafuasi wa marehemu mjinga? Bila shaka nanyi ni WAJINGA.
 
Mada umeiona? Au mada imekuwa nzito kwenu mnataka kuubadili mjadala kwa ujinga wenu tu.

Hautatia akili mpaka uache kuwaabudu wazungu, wewe ukiambiwa Yesu ni Mwafrika utang'ka.
 
Sasa hapa nimetetea nini?

Sio vinasaba tu, kumbuka mimi ni Muislam. Msitake kucheza na maneno, tunfahamu mkisema "Mwarabu" mnamaanisha Muislam, na mkisema Mswahili hali kadhalika, wakuja mna ujinga wa asili.

Nnaamini kuwa watu kama wewe mna ujinga wa asili, wa vinasaba, mkaongezewa na ule mliojazwa nao, matokeo ni ujinga double.
Kumbe mnaujua ukweli kuwa uislam ni dini ya waarabu nyie waswahili mmedandia tuu treni kwa mbele,mmekataa mila na desturi za mababu zako wakiafrica na ww unajiona mwarabu[emoji706][emoji706]
 
Mada umeiona? Au mada imekuwa nzito kwenu mnataka kuubadili mjadala kwa ujinga wenu tu.

Hautatia akili mpaka uache kuwaabudu wazungu, wewe ukiambiwa Yesu ni Mwafrika utang'ka.
Na ww mpaka uache kufuata mila za waraabu ndio utakuwa na akili
 
Hiyo mada siyo yangu, mimi nimeileta humu kwa faida ya wengi. Pengine hata wewe ulisomeshwa kwa kukajazwa huo ujinga shuleni. Hayo yametukumba sote. Profesa Noor kayastukia na anayabainisha hapo.

Nakushauri itazame video uone ulivyojazwa ujinga.
Pole sana Faiza ,nasikia upo kwenye HEDA...🤣🤣🤣😃😄
 
Back
Top Bottom