Aaah Uislam ni Universal, hauna mwenyewe. Unajua kuwa hao wote uliowataja ni wachache sana "minority" kwenye Uislam?
Kama haitoshi, unasema Wachafu Waislam ambao dini yao inahimiza usafi. Wanaotawadha kwa uchache kutwa mara 5?
Wewe utashinda usafi upi na Waislam? Unatawadha kutwa mara ngapi? Nna uhakika wewe hata ukienda haja hujisafishi kwa maji, bisha! Sasa utashindana na Muislam ambae awe wakike au wa wakiume, mtoto au mkubwa, anaamrishwa kutumia maji kila akienda haja, iwe ndogo au kubwa? Usafi upi wa ziada ulio nao wewe?
Hao watu uliowataja huo uchafu wao uko wapi, watu wanaojukua kujifukiza hao kwa maudi na maubani utashindana nao wewe usafi? Usitake kunchekesha sasa hivi.