FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #321
Dah ufananishe na wa Floyd juzi juzi, ukimaliza soma hii: 158 Resources for Understanding Systemic Racism in AmericaWe mwanamke unatumika hovyo sana. Uliona wapi mhalifu ajisafisha. Hata sasa weusi wengi wanafanyiwa unyama uarabuni. Hovyo kabisa!
Kama huelewi Kingereza na huelewi kutumia google translate, omba msaada, Waislam tutakupa elimu.
AlhamduliLlah kwa mafundisho ya Kiislam kumpa mtu elimu ni sadaka kubwa sana, usiwe na hofu ya kuuliza.