Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Hahaha share uzoefu kidogo wa kinachowapata washkaji mkuu

Mimi nilishaikuta S350 ya 2007(kama nakumbuka vzr) garage jamaa ameisusa ilikua imezingua airmatic ndani ya muda mfupi akawa anasema anatafuta pesa aweke coil spring lkn hapohapo analalamika akisema quality ya ride itakua changamoto wkt ile gari ni ya kiboss.
Umeshagusia....kitu kinakufa air suspension,set inataka 5m! Kubadili uweke coils nayo imataka si chini ya 4m sasa mtu alienunua kwa kubangaiza anachemka! Huo ni mfano mmoja hata kubadili wishbones sio kazi ndogo unazungumzia milioni na kuendelea sasa ukinunua kwa kubangaiza lazima uchemke,na hivyo ni vitu vya kawaida kwa barabara zetu.
 
Aisee ishia tu hapohapo mkuu,maana mpk hapo naogopa kufikiria matatizo mengine ya gari yakijitokeza jinsi mfuko unavyotoboka.

Zina wenyewe hizo aiseee.
 
Ukiona una gari, alafu imeharibika.. ili uilekebishe hadi ujichange change.. ujue imeisha kushinda hiyo 😀😀
😃😃😃 maisha yana ma gap sana mzee,kuna watu ball joints za vitz tu zikizingua anapaki kusubiri kwanza ajichange wkt jamaa mwingine wa benz hio airmatic ikizingua tu 5mil inahitajika(kama mdau alivyosema hapo juu).

Maisha haya.
 
Umeshagusia....kitu kinakufa air suspension,set inataka 5m! Kubadili uweke coils nayo imataka si chini ya 4m sasa mtu alienunua kwa kubangaiza anachemka! Huo ni mfano mmoja hata kubadili wishbones sio kazi ndogo unazungumzia milioni na kuendelea sasa ukinunua kwa kubangaiza lazima uchemke,na hivyo ni vitu vya kawaida kwa barabara zetu.
Hizi gari inatakiwa uwe na mzunguko wa kueleweka wa pesa. Kwa mwaka maintanance budget isipungue 15M-20M kibongo bongo. Ili ikizingua chochote una replace maana gari za mjerumani zina tabia ya kuchain matatizo.
 
😃😃😃 maisha yana ma gap sana mzee,kuna watu ball joints za vitz tu zikizingua anapaki kusubiri kwanza ajichange wkt jamaa mwingine wa benz hio airmatic ikizingua tu 5mil inahitajika(kama mdau alivyosema hapo juu).

Maisha haya.
Hahahahah mzee ball joints mtu lazma anajipanga 😂 maana gharama ya gari lake zima ni sawa sawa na Airmatic set ya kwenye benz
 
😃😃😃 maisha yana ma gap sana mzee,kuna watu ball joints za vitz tu zikizingua anapaki kusubiri kwanza ajichange wkt jamaa mwingine wa benz hio airmatic ikizingua tu 5mil inahitajika(kama mdau alivyosema hapo juu).

Maisha haya.
Ni vyema mtu kununua gari kama una uchumi wa kati.. na nunua gari kutokana ambayo inaenda na kipato chako.. hapa nilipo hata ukini Y62 nitauza.. maana sina kipato cha kukaa na yule mke 😀😀
 
Ligi ni mzuri sana haswa kama mnaelekea sehem moja nimekuja nimekuja na utafiti mdogo hapa kuhus nani alikuwa mbabe road trip kwa mwaka Jana.

Land cruiser kama kawaida yake hana mpinzani huyu mnyama anakimbia jamani hajali tuta wala nini yeye ni mwendo alitutesa sana sisi wakina Harrier sio poa mpinzan wake alikuwa ni Land cruiser mkonge, Prado txl new model, Ranger wild track, Nisan navarra, ndo walikuwa wanawekeana misuli

Kuna huyu volkswagen asee hiki chumba kina ondoka wajameni hii ñdiga ni mashine hatari yeye na BMW X 3,4,5 Hawa walikuwa tishio Sana germany mashine sio poa kwa long trip wanapuli sana very comfortable wakiwa barabaran kuovertake ndo usiombe

Kuna huyu mnyama crown ni ana balaa alitupita pale korogwe hatukumuona tena anapepea jamani hii chuma sio mchezo kimetulia barabaran san alikuwa huyu na mwenzie brevis walitupita hatukuwaona tena

Brevis, Grand Mark II hizi Gari zinakimbia gx100 ni anabalaa brevis alitupita kama tumepark vile wakat sisi tulikuwa tunatembelea 120 wakati huo kipande cha hapo Tanga alituovertake na kumuona akitoweka nikamvulia kofia kwa speed hi kwere nae alikuwa anatesa road.

Mark x nae hakuwa mzembe kuna Alphard walikuwa wanatesa. Hii ndio list ya Gari zilikuwa tishio kwa ligi njiañ kwa mwaka Jana December kwa Trip ya kwenda ukanda wa kaskazini kwa utafiti mdogo wang na kwa mtazamo wangu mm najipanga nivute mnyama athletes crown Simba hiki chuma sema tu kwenye bums ndo wanapoteswa hapo na rough roads tuu ndo hafui dafu

Ulivyotaja land cruiser mkonge tu nikaacha kuendelea kusoma [emoji38][emoji38]..hiyo nayo ni gari ya ligi kweli..
 
Nilipenda sana nilichukue hili, ila nalivutia kasi.. nitajipa zawadi mwisho wa mwaka.. Mungu akijalia🙂🙂.. na nina hisi ndio gari nitayo kaa nayo mda mrefu..
Hahahahah lina economy nzuri lakini au ndio lazma uunde ushemeji na sheli? Maana 3.0L 3GR zina economy kuliko 4GR za 2.5L zile.
 
Magari yote makubwa (7series,S class etc) kwa used ni cheap to buy lakini kuishi nalo si shughuli ya kitoto. Kama uko vizuri kiuchumi unachukua huku umetenga bajeti chochote kikitokea unarekebisha. Ila kama ni mwenzangu na mimi utalifaidi miezi michache ya mwanzo tu likianza kudai matunzo linakushinda.
Kuna mtu alinunua Jaguar x-type naona kalipaki sasa hivi anasema Transfer case imezingua.

Kama x-type tu shughuli,sijui vipuri kama vya XJ kama bei itashikika.
 
Umeshagusia....kitu kinakufa air suspension,set inataka 5m! Kubadili uweke coils nayo imataka si chini ya 4m sasa mtu alienunua kwa kubangaiza anachemka! Huo ni mfano mmoja hata kubadili wishbones sio kazi ndogo unazungumzia milioni na kuendelea sasa ukinunua kwa kubangaiza lazima uchemke,na hivyo ni vitu vya kawaida kwa barabara zetu.
Hizo gharama za vipuri ukienda kwa Sossy magari unapata chuma ingine.
 
Hata mimi, Skyline hazijanibariki sana.. wana yale ma skyline GTR yanapuyanga hadi 340 kama sikosei, nilikuwa nayatamani.. ili kila nikipiga hesabu za pesa ngoma inagonga mwamba naishia kuziona na kuzitamani na kuzisifia tu
Aaarh yale ma skyline GT-R ni expensive sana aisee,kule be forward CIF yake tu $30,000 bado wajuba wa TRA daah,wameyapiga modes mpk yanafika 450+ hp.
 
Hahahah huu mchezo lazma niufanye lakini. Mi gari yangu imegonga 200+ ila siku nikiiuza lazma nipunguze hadi 90 au 80+ bila hivyo najua watu watanletea mapozi ila i'll ensure iko as clean as new. Mi niliuziwa ikiwa 170+ ila iko fully functional as just imported.
😃😃😃😃 wahuni sio watu aiseee.
 
Hahahahah lina economy nzuri lakini au ndio lazma uunde ushemeji na sheli? Maana 3.0L 3GR zina economy kuliko 4GR za 2.5L zile.
nimevutiwa na hii sana..

Screenshot_20210108-102734_Chrome.jpg
 
Kaa kwa V8 Majesta 3UR -FE mnyama 4.3L vvti!
Lile dude hatari mzee kwa wanaopenda ligi mle lazma wapasue mapafu ya gari.
Heshima nyingi sana kwa wanaopush hio kitu hapo mjini dar,hakika waagize mtori nitawalipia maana kwa foleni ya dar kitu cha wese hapo ni utata.

Ila ukiwa nalo mkoani fresh tu,hakuna foleni.
 
Back
Top Bottom