Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Hahah hivi mkuu wanawake hua wanajua tofauti ya magari au wakionaga benz na vitz wanaona tu gari ni gari?

Nimeuliza nikijiuliza hivi hua wanajua inagharimu kiasi kuiweka gari kama hio benz barabarani?
Wao wanahisi gari ni gari tu mradi litembee, wao wapande tu ila mambo kwa ground ni mziki.🤣🤣🤣 Hakuna mtu ambaye hapendi vizuri
 
Zikishajaa Benzi bongo, mafundi na spares zitajaa.

Kipindi cha nyuma Subaru na Nissan zilikuwa zinaogopwa sana. Ila sahivi kila kitu mteremko.
Benz kujaa sio rahisi na hata zikijaa bado haitabadili swala la kuwa spear zake na maintanance ni aghali. Chukulia mfano tu oil fully synthetic unanunua laki kasoro hapo hujazungumzia filter.
 
Ukiwa una wahi lazima u overtake,.. ila haimaanishi kwamba ndio tuanze kufukuzana 😀😀😀.. huwa nashindana mwenyewe tu..
We hutofautiani na jamaa yangu flani, yeye gari ambazo hazina power hanunuagi, juzi kaagiza Brevis mpya na ndio gari yake pendwa hua ananunua na kuuza after a while.😂😂😂 ila kuitoa mafua lazma akanyage Moro-Chuga chap 😂
 
Heshima nyingi sana kwa wanaopush hio kitu hapo mjini dar,hakika waagize mtori nitawalipia maana kwa foleni ya dar kitu cha wese hapo ni utata.

Ila ukiwa nalo mkoani fresh tu,hakuna foleni.
Hakika😂 hata maaskari wanaelewaga ndio maana ni ngumu kukuta Majesta imepigwa mkono 🤣
 
We hutofautiani na jamaa yangu flani, yeye gari ambazo hazina power hanunuagi, juzi kaagiza Brevis mpya na ndio gari yake pendwa hua ananunua na kuuza after a while.😂😂😂 ila kuitoa mafua lazma akanyage Moro-Chuga chap 😂
Kuna raha ya kuwa na gari ambayo ina ma nguvu ya kutosha.. hata barabarani unakuwa unajiamini yani.. sure sipendi kukaa na gari mda mrefu huwa nachoka.. ila kwa majesta nitakaa nayoo.. na ni kwasababu V8 siku nabadili hapo naenda V8 ya juu kabisa.. SUV ya maana hasa RR.. furaha yangu kuwa na gari yenye CC za kibabe nguvu ipo yani huwa na enjoy sana
 
Hahahahah we ukitoka humo tafta Lexus LS350 tu sasa maana hamna namna ingine. Hizi gari ni imara sana sema bei zake mkasi ndio maana ni ngumu kuziona barabarani bongo.
 
Nzuri sana kiukweli, ni tyre ya uhakika kwa wapenda mbio. Huwez kukuta Michelin imevimba kijinga kama tairi za DongFeng au Linglong maana ndani ina waya haina uzi
Zile kwa mbio ndio mahala pake unachochora barabarani pasipo wasi wasi wa tyre.. sio zingine ukipaki sehemu lazima ushuke chine kuchungulia pako salamaaa 😀😀
 
Hahahahah we ukitoka humo tafta Lexus LS350 tu sasa maana hamna namna ingine. Hizi gari ni imara sana sema bei zake mkasi ndio maana ni ngumu kuziona barabarani bongo.
Ni bei ila ukiwa na ndoto unaipata. Kwa mfano sasa hivi nafanya saving najua hadi mwezi saba nitakuwa na pesa iliyokamilika kuchukua hicho chombo.. huwa sinaga haraka sana.. kwenye mambo yanayotaka pesa .
 
Na uchumi wa dunia unaenda kuzorota
Af Benz huwa zinabadilishwa technology kila toleo ndio ubaya, yani kila mwaka wa upgrade technology sio kama Toyota inabadilishwa taa na bumper tu.😂

Unakuta vipuri vya jamii ya Corrolla vinaingiliana kwenye gari zote. Raum, Runx, Spacio, Vits yani tofauti ni size tu kwanini spear zisiwe rahisi? Ila kitu cha benz S class huwezi kukiweka kwenye C class au E class!
 
Ukinunua gari na huku unajua kabisa unamaisha ya ujanja ujanja.. lazima iwe mtihani tu. Benz S class wanaomiliki wengi wao sio janja janja.. Na ndio maana najipa nafasi kabla ya kuchukua V8 sitaki abali za leo sina wese nipande uber 😀😀😀
 
Back
Top Bottom