Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Hahahahah sasa Air suspension ya Benz unadhani kitoto ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sema huwa lina muungurom mtamu sana hilo dude. Kuna jamaa yangu mmoja analo huwa napenda mziki wake tu ndani mziki umejaa kinoma yani very crisp and clean bass!

Huitaji kufunga madumu ya Dicksound.
Hahah kitu cha Harman Kardon sio cha mchezo mkuu,mambo ya dick sound tuachie sisi wazee wa kutumia zile gari zetu za sae-40 na subwoofee zetu.
 
Hahah safi sana hizo engine ndizo zenyewe dude linafika mpk 180km/h hata hushtuki,kitu Very smooth.Mambo ya v8 hayo.

HKS niliona wana complete Supercharger kit yake ni hatari mzee baba.
Kweli, hata crown athlete sio mbaya maana huwa najikuta 160 chap.. na sioni kama nakimbia.. nikiwa na huyo mnyama ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. nitaenda road ya kahama paka chato ... nifanye yangu.. natupia kwanza tyre za michelin hizo za kwao natoa
 
Hahahahah mzee ball joints mtu lazma anajipanga ๐Ÿ˜‚ maana gharama ya gari lake zima ni sawa sawa na Airmatic set ya kwenye benz
Hahah hivi mkuu wanawake hua wanajua tofauti ya magari au wakionaga benz na vitz wanaona tu gari ni gari?

Nimeuliza nikijiuliza hivi hua wanajua inagharimu kiasi kuiweka gari kama hio benz barabarani?
 
Kweli, hata crown athlete sio mbaya maana huwa najikuta 160 chap.. na sioni kama nakimbia.. nikiwa na huyo mnyama ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. nitaenda road ya kahama paka chato ... nifanye yangu.. natupia kwanza tyre za michelin hizo za kwao natoa
Hahah enjoy the ride mkuu,maisha ni haya haya tu.
 
Hahahahah zama kwenye benz walau S550 ukipata ya 2015 mwake sana! Kama kweli upo serious na mjerumani.

Tule tu Subaru Impreza sijawahi kukapenda, kana uso umekaa kama slay queen kafumaniwa na shemeji. Bora hata zile model za 2013 atleast ziko utamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mwana una ngebe kinoma mshikaji wangu
 
Duh sasa Subaru nazo zishakuwa kama IST...kuna vile vi imprezza cc1500 vimeingia kibao,hizi Forrester XT nazo zimekuwa jezi. Kifupi gari ikikubalika na ikiwa bei ya kati 10-20m zitajaa tu hapa dawa yake uingie kwa magari ya mzungu ndio mtakuwa wachache ingawa na huko nako watu woga umeisha wanajilipua.
Kuhani Noah
Zikishajaa Benzi bongo, mafundi na spares zitajaa.

Kipindi cha nyuma Subaru na Nissan zilikuwa zinaogopwa sana. Ila sahivi kila kitu mteremko.
 
Ila ili uzipate hizo 301HP si lazima u slam gas pedal mkuu? Utajikuta unarudi kule kule kwenye gas guzzler.

Wakati hata 3.5L tu inakuwa very smooth kuipata hio 301HP.
Nitajie SUV 3 za 3.5L zinazokupa 301 hp.
 
Back
Top Bottom