Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wao wanahisi gari ni gari tu mradi litembee, wao wapande tu ila mambo kwa ground ni mziki.🤣🤣🤣 Hakuna mtu ambaye hapendi vizuriHahah hivi mkuu wanawake hua wanajua tofauti ya magari au wakionaga benz na vitz wanaona tu gari ni gari?
Nimeuliza nikijiuliza hivi hua wanajua inagharimu kiasi kuiweka gari kama hio benz barabarani?