Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Umeshagusia....kitu kinakufa air suspension,set inataka 5m! Kubadili uweke coils nayo imataka si chini ya 4m sasa mtu alienunua kwa kubangaiza anachemka! Huo ni mfano mmoja hata kubadili wishbones sio kazi ndogo unazungumzia milioni na kuendelea sasa ukinunua kwa kubangaiza lazima uchemke,na hivyo ni vitu vya kawaida kwa barabara zetu.
 
Aisee ishia tu hapohapo mkuu,maana mpk hapo naogopa kufikiria matatizo mengine ya gari yakijitokeza jinsi mfuko unavyotoboka.

Zina wenyewe hizo aiseee.
 
Ukiona una gari, alafu imeharibika.. ili uilekebishe hadi ujichange change.. ujue imeisha kushinda hiyo πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ maisha yana ma gap sana mzee,kuna watu ball joints za vitz tu zikizingua anapaki kusubiri kwanza ajichange wkt jamaa mwingine wa benz hio airmatic ikizingua tu 5mil inahitajika(kama mdau alivyosema hapo juu).

Maisha haya.
 
Hizi gari inatakiwa uwe na mzunguko wa kueleweka wa pesa. Kwa mwaka maintanance budget isipungue 15M-20M kibongo bongo. Ili ikizingua chochote una replace maana gari za mjerumani zina tabia ya kuchain matatizo.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ maisha yana ma gap sana mzee,kuna watu ball joints za vitz tu zikizingua anapaki kusubiri kwanza ajichange wkt jamaa mwingine wa benz hio airmatic ikizingua tu 5mil inahitajika(kama mdau alivyosema hapo juu).

Maisha haya.
Hahahahah mzee ball joints mtu lazma anajipanga πŸ˜‚ maana gharama ya gari lake zima ni sawa sawa na Airmatic set ya kwenye benz
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ maisha yana ma gap sana mzee,kuna watu ball joints za vitz tu zikizingua anapaki kusubiri kwanza ajichange wkt jamaa mwingine wa benz hio airmatic ikizingua tu 5mil inahitajika(kama mdau alivyosema hapo juu).

Maisha haya.
Ni vyema mtu kununua gari kama una uchumi wa kati.. na nunua gari kutokana ambayo inaenda na kipato chako.. hapa nilipo hata ukini Y62 nitauza.. maana sina kipato cha kukaa na yule mke πŸ˜€πŸ˜€
 

Ulivyotaja land cruiser mkonge tu nikaacha kuendelea kusoma [emoji38][emoji38]..hiyo nayo ni gari ya ligi kweli..
 
Nilipenda sana nilichukue hili, ila nalivutia kasi.. nitajipa zawadi mwisho wa mwaka.. Mungu akijaliaπŸ™‚πŸ™‚.. na nina hisi ndio gari nitayo kaa nayo mda mrefu..
Hahahahah lina economy nzuri lakini au ndio lazma uunde ushemeji na sheli? Maana 3.0L 3GR zina economy kuliko 4GR za 2.5L zile.
 
Kuna mtu alinunua Jaguar x-type naona kalipaki sasa hivi anasema Transfer case imezingua.

Kama x-type tu shughuli,sijui vipuri kama vya XJ kama bei itashikika.
 
Hizo gharama za vipuri ukienda kwa Sossy magari unapata chuma ingine.
 
Hata mimi, Skyline hazijanibariki sana.. wana yale ma skyline GTR yanapuyanga hadi 340 kama sikosei, nilikuwa nayatamani.. ili kila nikipiga hesabu za pesa ngoma inagonga mwamba naishia kuziona na kuzitamani na kuzisifia tu
Aaarh yale ma skyline GT-R ni expensive sana aisee,kule be forward CIF yake tu $30,000 bado wajuba wa TRA daah,wameyapiga modes mpk yanafika 450+ hp.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ wahuni sio watu aiseee.
 
Kaa kwa V8 Majesta 3UR -FE mnyama 4.3L vvti!
Lile dude hatari mzee kwa wanaopenda ligi mle lazma wapasue mapafu ya gari.
Heshima nyingi sana kwa wanaopush hio kitu hapo mjini dar,hakika waagize mtori nitawalipia maana kwa foleni ya dar kitu cha wese hapo ni utata.

Ila ukiwa nalo mkoani fresh tu,hakuna foleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…