Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Hahah kitu cha Harman Kardon sio cha mchezo mkuu,mambo ya dick sound tuachie sisi wazee wa kutumia zile gari zetu za sae-40 na subwoofee zetu.
 
Hahah safi sana hizo engine ndizo zenyewe dude linafika mpk 180km/h hata hushtuki,kitu Very smooth.Mambo ya v8 hayo.

HKS niliona wana complete Supercharger kit yake ni hatari mzee baba.
Kweli, hata crown athlete sio mbaya maana huwa najikuta 160 chap.. na sioni kama nakimbia.. nikiwa na huyo mnyama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. nitaenda road ya kahama paka chato ... nifanye yangu.. natupia kwanza tyre za michelin hizo za kwao natoa
 
Hahahahah mzee ball joints mtu lazma anajipanga πŸ˜‚ maana gharama ya gari lake zima ni sawa sawa na Airmatic set ya kwenye benz
Hahah hivi mkuu wanawake hua wanajua tofauti ya magari au wakionaga benz na vitz wanaona tu gari ni gari?

Nimeuliza nikijiuliza hivi hua wanajua inagharimu kiasi kuiweka gari kama hio benz barabarani?
 
Kweli, hata crown athlete sio mbaya maana huwa najikuta 160 chap.. na sioni kama nakimbia.. nikiwa na huyo mnyama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. nitaenda road ya kahama paka chato ... nifanye yangu.. natupia kwanza tyre za michelin hizo za kwao natoa
Hahah enjoy the ride mkuu,maisha ni haya haya tu.
 
Hahahahah zama kwenye benz walau S550 ukipata ya 2015 mwake sana! Kama kweli upo serious na mjerumani.

Tule tu Subaru Impreza sijawahi kukapenda, kana uso umekaa kama slay queen kafumaniwa na shemeji. Bora hata zile model za 2013 atleast ziko utamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mwana una ngebe kinoma mshikaji wangu
 
Zikishajaa Benzi bongo, mafundi na spares zitajaa.

Kipindi cha nyuma Subaru na Nissan zilikuwa zinaogopwa sana. Ila sahivi kila kitu mteremko.
 
Ila ili uzipate hizo 301HP si lazima u slam gas pedal mkuu? Utajikuta unarudi kule kule kwenye gas guzzler.

Wakati hata 3.5L tu inakuwa very smooth kuipata hio 301HP.
Nitajie SUV 3 za 3.5L zinazokupa 301 hp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…